Recent content by Annuity

  1. Annuity

    Astronauts: Is sex in space possible or unthinkable exertion?

    If humanity is serious about colonizing Mars, we need to get busy studying how to get busy in space.. - Mike Wall. Kumekuwa na harakati nyingi sana katika huu ulimwengu ambapo nchi za dunia ya kwanza zimekuwa zikienda kufanya shughuli mbali mbali za kitafiti katika sayari nyingine na mwezini...
  2. Annuity

    TCRA wawe wa kwanza "kuwajibishwa" kwa kuwa Member wa Mtandao wa JF wanaoutuhumu

    Kama hali ipo TCRA wenyewe wanatumia huo mtandao 'unaovunja sheria' baadhi ya viongozi pia wanautumia, huko mahakamani mi sijui nin kitatokea haya mashauri bora wayafute tu kuepuka aibu,
  3. Annuity

    David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

    Huyo amehama chumba tu katoka chumbani kaingia sebuleni nyumba ni ile ile tu UKAWA.
  4. Annuity

    Ndalichako: Walimu wa sanaa wanatosha. Serikali haiwezi kuajiri walimu wa masomo hayo kwa sasa

    Nafikiri kwa hali hiyo hata mkopo wasamehewe sababu wengi waliamua kusoma Elimu, kwa kuwa.. 1. Ilikuwa ni priority 2. Wengi ni watoto wa maskini 3. Walikuwa na uhakika wa kulipa pindi watakapoajiliwa 4. Walikuwa wamejiandaa kisaikolojia kukabiliana na mazingira magumu watakayokutana nayo. 5...
  5. Annuity

    Mtukanaji wa mtandaoni, Shilole Kiuno akosa dhamana, apelekwa Segerea

    Kijana mzima anajiita shilole kiuno.. Mbaya zaidi anaenda jela.
  6. Annuity

    Nakuombea Kamanda Ben Saanane

    Kama una uchungu sana na Ben kiasi cha kufunga, na kwa umetanabaisha kuwa Mbowe anajua Ben alipo na pasipo unafiki wowote tunakuomba upeleke huo ushahidi polisi au mahakamani na Mbowe akamatwe mara moja na wapenda haki tutakuunga mkono. Vinginevyo kuleta propaganda kwenye mambo serious na...
  7. Annuity

    Mawakili sita kumtetea mmiliki wa JamiiForums

    Whistelblowing site like JF is vital and very crucial in revealing corrupt official, drug dealers and all others who are not after the will of our country. Why they lockup it's co-founder? What's Mexence is detained for? Please #FreeMexenceMelo
  8. Annuity

    Huwa naishangaa mikoa kadhaa isiyoipenda CCM

    Compare and contrast halmashauri za hao wanaipenda CCM na hao kuichukia CCM zinaongozwa na kina nan na kwa nin kuna tofauti za kimaendeleo? Probably unaweza kujishangaa kwanini unawashangaa.
  9. Annuity

    Wasomi, maaskofu wamsifu Magufuli

    Nilijua tu Bana lazima awe mentioned. Ila sijui ni kigezo gani huwa hawa wanabari wanakitumia kuwapata wachangiaji wasomi. Au Bana ndio nguli wa Political Science tz nzima? (Japo naye ana km elements za ukijani) Sijafahamu labda yupo nondo sn, sijawah kufundishwa na huyu jamaa kwa aina ya...
  10. Annuity

    Mwenyekiti wa UVCCM aliyeshitakiwa kwa kughushi kitambulisho cha Usalama wa Taifa aachiwa huru

    Najaribu kupata picha kama ambaye angedakwa ni kijana kutoka mitaa ya Ufipa au Bavicha. Sijui wakina Lizaboni povu lingewatokaje, Na Kweli kesi ingeisha hivi? Grief indeed! . . . . . , . . . . Mwananchi wa kawaida. Elimu: la.. VI B
  11. Annuity

    Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Nafikiri baada ya members kujua kuwa Jamii media inatumia teknolojia ya Encryption ambayo haiwazeshi kumtambua mtumiaji hii inaweza kupelekea wana JF kuwasha moto zaidi sababu hakuna namna watafahamika labda waji expose wenywe. Lakini nashauri hii isiwe sababu ya wana bodi kuvuka mipaka, JF iwe...
  12. Annuity

    Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

    Naona comments nyingi zinazungumzia kuhusu Ben na chadema yake kutafuta kiki. Ila nashindwa kuelewa watu hawa kushindwa kugusia kwa uzito wa juu hawa watu 7 waliotupwa mtoni kana kwamba ni hawana thaman yeyote na kuweka ushabiki wa kisiasa mbele kwa kum_crush Ben na CDM. Uhai wa mtu...
  13. Annuity

    Mbinu ya kujiteka kufanikisha operesheni kata funua CHADEMA itafanikiwa?

    Wanabodi muda mwingine tuwe serious na tuwe logical oriented, nilidhani ili kuthibitisha unafiki wa hawa jamaa Chadema utasema yupo wapi. Halafu unakuja na maneno matupu.. What if ikithibitika ametekwa kweli? Yule ni mtu na ana maisha binafsi sio lazima apotee kwa sababu za kisiasa, kwanin...
  14. Annuity

    Hoja 28 za Juma Duni Haji

    Anayepingana na hizi nondo nina mashaka na uwezo wake wa kufikiri. Content with stats.. Anayemjibu tunaomba na yeye aje na takwimu sio maneno matupu. Period
  15. Annuity

    Yanayotokea Gambia yamenifanya nikumbuke Tuzo ya Jecha kwa kurudia uchaguzi Zanzibar

    Hawa wazungu ndio maana wanatudharau sana. Sasa anafuta nin tena na alishakubali? Tuna safari ndefu
Back
Top Bottom