Nakuombea Kamanda Ben Saanane

Nakuombea Kamanda Ben Saanane

waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama

Unajua mkuu unaongelea mtu kutokuonekana...sasa unapoleta mzaha kwenye jambo kama hili ..tuna doubt sana utu wako
 
Kama una uchungu sana na Ben kiasi cha kufunga, na kwa umetanabaisha kuwa Mbowe anajua Ben alipo na pasipo unafiki wowote tunakuomba upeleke huo ushahidi polisi au mahakamani na Mbowe akamatwe mara moja na wapenda haki tutakuunga mkono.

Vinginevyo kuleta propaganda kwenye mambo serious na mazito tutaona uelewa wako una matatizo na upembuzi wa mambo mazito ya kitaifa kwa sasa.


[HASHTAG]#FreeMexenceMelo[/HASHTAG]
 
Unajua mkuu unaongelea mtu kutokuonekana...sasa unapoleta mzaha kwenye jambo kama hili ..tuna doubt sana utu wako
Huyo hana utu wowote ni lb7 badala kuwa sympathy na Ben ameanzisha thread kuisanifu familia ya Ben.

Eti Lumumba amefunga kwa ajili ya Ben kama si kumsanifu Mungu, Ben na familia yake ni nini.
 
Poa sister mwombee, maana maombi hufunua kila kitu
 
leta story za kimama mama hapa sijui bwana yako hajakukungu'ta poa be serious bibi mchafu wewe.


swissme
Watu wana majonzi familia inahangaika usiku na mchana kumtafuta mpendwa wao halafu pimbi fulani analeta mzaha kwenye kitu serious, mjinga kabisa.
 
Unapoleta MIZAHA kwenye issue serious kama ya Ben sijui unakuwa unafikiria nini!!
Inatia uchungu sana.
 
Mkiandika mkumbuke kuwa Ben ana wazazi wake. Wanaumia mno kupotea kwake. Kila linalosemwa kumhusu wanafuatilia kujua kilichomsibu mtoto wao.

Msiwatie simanzi zaidi kwa nyie kutafuta kushabikia chama.
 
Siku ya leo nimefunga kwa ajili ya kumwombea kijana wa kitanzania Ben Saanane Katibu myeka wa Mkiti wa chadema aliyepotezwa katika mazingira ya kushangaza. Hatujui kama yuko miongoni mwa vijana wa waliyopelekwa na katibu mkuu wa chadema porini Bagamoyo kwa kisingizio wanaenda kulima shamba la Chama. Wapenda amani Tanzania Tumwombee mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Naona vijana wenzake wa Bavicha wamenyea baada ya kupigwa marufuku na wamiliki wa chama kumtafuta mwenzao wamekuwa baridiii kama wamemwagiwa maji na sasa wanajifanya na uchungu na maxence Melo wa Jamii forum kuliko kupotea kwa Ben Saanane. Mbowe Anajua Ben alipo.

Usiwagombanishe wapinzani.Pole
 
Back
Top Bottom