Recent content by anna peter

  1. anna peter

    Ni kweli ni vigumi kuachana na mpenzi wako kwa amani?

    Inawezekana ila ni upungufu wa akili wa mtu mwenyewe
  2. anna peter

    Ukishika shikamana

    Mmmm! Me nadhani walengwa wameckia
  3. anna peter

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    Amina mpendwa ucjali Mungu atakusaidia utasahau yote na kuanza maisha mapya
  4. anna peter

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    Nikweli kabisa kwn anaweza kumsaliti kwa njia hiyo*2 tena na ndipo atakapo umia zaidi utatamani kufanya yote kipindi hicho lakini hutoweza utabaki unaumia pasipo mafanikio na kila mwanaume utakayemwona atakuwa adui yako. Mimi ninachokushauri uckubali kumrudia hata kama bado unampenda amua...
  5. anna peter

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    Ni kweli BW,me nadhani kwa yeyote yule aliyepitia jambo hili anajua maumivu yake
  6. anna peter

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    Najua ni uchungu ulio nao na hawa watu wenye tabia hizi ndio unakufanya usiwasamehe ila jifunze kusamehe. Ila inauma wapendwa kutendwa asikuambie mtu.
  7. anna peter

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    Uliyosema ni kweli kabisa kujipa muda ndio suluhu ya maumivu yako
  8. anna peter

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    Usiseme hivyo kumsamehe mkosa wako ndio njia sahihi yakubadilika kwako la sivyo utaumia kila siku
  9. anna peter

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    Me nadhani hicho ndicho cha msingi ktk maisha kama haya
  10. anna peter

    Garage Party Paty Five, Usimwache Msichana/Mwanamke mwenye sifa hizi.

    Wewe ndio hujampata wenzio wanaishi nao
  11. anna peter

    Garage Party Paty Five, Usimwache Msichana/Mwanamke mwenye sifa hizi.

    Umeona bora afanye hivyo atajuta kidogo
Back
Top Bottom