Recent content by Raia mmoja

  1. R

    Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

    Utii wa sheria bila shuruti...! Wangetii bila shurutii wasingepigwa risasi, Sasa polisi wangefanyaje Kama waliamriwa kujisalimisha wakakataa?! Na wana silaha baridi Kama mapanga?! Au mlitaka polisi waende wakakatwe katwe mapanga Kama mishikaki, polisi hawezi kukupiga risasi Kama umetii...
  2. R

    Kisasi kilichozaa penzi zito

    Sio mwanaume mkuu ni mvulana tu!
  3. R

    Biashara ya madawa ya kulevya chini ya uongozi wa Samia

    Kwani anaye ongoza nchi kwasasa ni Samia au Kikwete?! Tuwe wakweli tu!! Nani aliye nyuma ya Samia?! Tuko kwenye awamu ya nne part two!! Samia yuko kama hayuko! Hana meno Wala neno!
  4. R

    LATRA simamieni sheria, mabasi yote yapakie na kushusha abiria kwenye stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

    Hivi wewee jamaa una shida gani? Unajua ukubwa wa Dar es salaam?! Kuna watu wanakaa kigamboni, wengine buza, wengine bunju, watu wanakaa chamazi wengine mbande , msongola, mvuti mpaka Chanika, wengine gongolamboto, majoe mpaka pugu kajiungeni, Kufika huko mbezi mwisho Louis stand ya magufuli...
  5. R

    Nashauri serikali ipunguze masharti kwenye vyuo vya ufundi (VETA)

    Na ada wapunguze pia, nasikia mwaka huu wamepandisha ada zao, kutoka laki tano na sitini, na laki sita na ishirini elf, mpaka lakini nane na tisa, Sasa ukichanganya na hostel laki tatu, kwa wanafunzi wa mbali ni zaidi ya million na upuuzi, Sasa hapo sijui Serikali inamsaidia mtoto wa...
  6. R

    Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

    Hivi kuna dawa ya kuua mijusi kweli?! Tofauti na dawa ya wadudu tunazopulizia kila siku Kama rungu?! Au dawa za kuua panya?!
  7. R

    Manabii kupewa heshima hizi ni utumwa

    Kama Mfalme Zumaridi eti Mungu chini ya Jua!! Khaaa!! Manabii wa Mchongo!! Waafrika bado tumelala Sana!
  8. R

    Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

    Sasa mkuu wenye dini yao watakuelewa kweli?! Watakubali kubadili sheria za dini yao Kama kubadili katiba?!
  9. R

    Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

    Mkuu Kuna dini pia, sheria ya dini moja inataka mwanaume ndio amuhudumie mwanamke hata Kama mwanamke huyo ni billionaire na mwanaume ni kapuku!! Na Kama wote mnafanyakazi na mshahara ni sawa, Basi mshahara wa mwanaume pekee ndio utakao tumika nyumbani na kumtunza mwanamke pia. Na Kama mwanamke...
  10. R

    Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Hizo ni facts mkuu, Kuna sehemu hapo imetajwa dini ya mtu?! Tuache mihemko, tutoe facts!
  11. R

    Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Mbona wasichana wakazi za ndani wengi Sana wanapelekwa nchi za kiarabu kila uchao tena kwa mishahara chini ya hapo sijasikia kelele mkuu?! Na wengine wanafia huko ukiacha wanaonyanyasika, kubakwa na kupokonywa passport zao!! Sembuse hii ya Israel Tena mshahara mkubwa Sana kuliko hata bekitatu...
  12. R

    Vyama vya Upinzani viratibu Maandamano ya kupinga Shirika la TANESCO

    Vyama vya upinzani vilishajifia mkuu, wamesha lambishwa asali, Vyama gani nauli zinapandishwa mara tatu kwa miezi miwili vipo kimyaaa?! Watanzania wanapitia magumu mengi hakuna chama hata kimoja kinajali, Wakina zitto kabwe ndio kwanza wanasifia serikali, Mbowe ameshalambishwa asali na...
  13. R

    Asili ya majina ya maeneo mkoani Manyara

    Mimi naishi nao ndugu, ni jirani zangu!! Alafu hawapendi kabisa uwaite "wambulu" (mbulu ni wilaya ya manyara)
Back
Top Bottom