Utii wa sheria bila shuruti...!
Wangetii bila shurutii wasingepigwa risasi, Sasa polisi wangefanyaje Kama waliamriwa kujisalimisha wakakataa?!
Na wana silaha baridi Kama mapanga?!
Au mlitaka polisi waende wakakatwe katwe mapanga Kama mishikaki, polisi hawezi kukupiga risasi Kama umetii...
Kwani anaye ongoza nchi kwasasa ni Samia au Kikwete?!
Tuwe wakweli tu!!
Nani aliye nyuma ya Samia?!
Tuko kwenye awamu ya nne part two!!
Samia yuko kama hayuko! Hana meno Wala neno!
Hivi wewee jamaa una shida gani? Unajua ukubwa wa Dar es salaam?! Kuna watu wanakaa kigamboni, wengine buza, wengine bunju, watu wanakaa chamazi wengine mbande , msongola, mvuti mpaka Chanika, wengine gongolamboto, majoe mpaka pugu kajiungeni,
Kufika huko mbezi mwisho Louis stand ya magufuli...
Na ada wapunguze pia, nasikia mwaka huu wamepandisha ada zao, kutoka laki tano na sitini, na laki sita na ishirini elf, mpaka lakini nane na tisa,
Sasa ukichanganya na hostel laki tatu, kwa wanafunzi wa mbali ni zaidi ya million na upuuzi,
Sasa hapo sijui Serikali inamsaidia mtoto wa...
Mkuu Kuna dini pia, sheria ya dini moja inataka mwanaume ndio amuhudumie mwanamke hata Kama mwanamke huyo ni billionaire na mwanaume ni kapuku!!
Na Kama wote mnafanyakazi na mshahara ni sawa, Basi mshahara wa mwanaume pekee ndio utakao tumika nyumbani na kumtunza mwanamke pia. Na Kama mwanamke...
Mbona wasichana wakazi za ndani wengi Sana wanapelekwa nchi za kiarabu kila uchao tena kwa mishahara chini ya hapo sijasikia kelele mkuu?! Na wengine wanafia huko ukiacha wanaonyanyasika, kubakwa na kupokonywa passport zao!!
Sembuse hii ya Israel Tena mshahara mkubwa Sana kuliko hata bekitatu...
Vyama vya upinzani vilishajifia mkuu, wamesha lambishwa asali,
Vyama gani nauli zinapandishwa mara tatu kwa miezi miwili vipo kimyaaa?! Watanzania wanapitia magumu mengi hakuna chama hata kimoja kinajali,
Wakina zitto kabwe ndio kwanza wanasifia serikali, Mbowe ameshalambishwa asali na...
Kama kweli ni babayake mzazi Basi watakuwa wanafanana tabia!
Waingereza husema "like father like son"
Alivyo baba ndivyo alivyo mtoto!
Na waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka!
Mpaka hapo nadhani nimeeleweka kidogo!
Justine Kalikawe mwanamuziki wa Reggae kutoka Kagera, nilisikia kwamba alifariki dunia muda tu! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa!
Nyimbo nyingine mbali na "panapofuka Moshi, zima moto chini" "wamachinga"
Pia aliimba "Maisha sio Ndoto" , "ningekuwa na Mabawa" etc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.