Uwe unajua physics na Mathematics. sababu vitu vingi ndani ya IT ni logical.
Mfano: Programming inahitaji uwepo vizuri katika kufikiri ili kusolve problem
hapo unatakiwa uziunganishe hizo Tables zako kwa SQL query ndio itakua umefanya hiyo relation
Syntax:
$sql="SELECT (fields you want) " .
"FROM Table, Table2, Table3 WHERE (here specify the condition)" ;
Note:
Kuna njia nyingi za kujoin hizo tables zako cha msingi ucheze na Primary key na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.