Recent content by Ankoh Mazukuh

  1. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Ninashangaa sana wanaojaribu kuilinganisha Yanga sc na vilabu vingine Tanzania

    Unacho kitafta utakipata
  2. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Ninashangaa sana wanaojaribu kuilinganisha Yanga sc na vilabu vingine Tanzania

    Mwenyew nashangaaa...
  3. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    I got you thanks
  4. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    Natamani niend nikasome ili kuepuka hichi kitu japo naogopa kwny kusoma kama ntawez kumaintain time.. Because I got big dreams with my career you may see it on Instagram @munixpic
  5. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    Photographer
  6. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    Natamani nipate njia nzuri yenye hekima ili nisepe kwa amani
  7. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    Ndiyo hivyo ila sas nikifanya hivyo itakuwa ugomvi kwa bimkubwa...
  8. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    Kuna namna n ngumu sometimes narudi usiku sana... Unakuta nimeenda ukumbini so changamoto n nying alaf mzazi anakuwa aelewi agomba sana asa me hicho kitu ndio sipend naona kama kinanikosesha amani
  9. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    Thank you but me nilikuwa nimewaza labda niende nikasome chuo sehem ambayo najua my business will grow fast tofauti na kule mwanzo nilipokuwepo nilikuwa nasoma Mbeya biashara ya photography hapana but napenda sana photography unawez pia nifwatilia kazi zangu instagram @munixpic
  10. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    I got dreams bro to accomplish
  11. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nyumbani nitashindwa kufanya michongo kiufasaha

    Wanangu wa JF mimi bwana nina jambo langu em naombeni ushauri kidogo. Mimi bwana nimemaliza chuo mwaka jana mwaka huu mwishoni natimiza miaka 23 naishi na mama yangu peke yake mzee alishafariki miaka mitatu sasa ma bro zangu walishaoa masister nao vile vile. Sasa bwana changamoto yangu ni moja...
  12. Ankoh Mazukuh

    JamiiForums Tanzania kuota ex wako anaolewa au mwanamke unampenda sana

    Ah kmk nafuta...
Back
Top Bottom