Kuna mchungaji alikua anahubiri kwenye mkesha, gafla taa zilizimika na mchungaji alitulia bila kujua afanye nini au aseme nini. Hatimaye mkristo mmoja alisema "ENDELEA KUHUBIRI MCHUNGAJI, TUNAWEZA BADO KUMUONA YESU GIZANI" Huu ni mtizamo chanya. Dunia inaonekana ya kijani kwa mwenye mtazamo...
Moto umegawanyika katika madaraja makuu matano (5);
1. Daraja A
-Huu ni moto utokanao na vitu vyenye asili ya mimea mf. Karatasi, mbao, nguo n.k
2. Daraja B
-Huu ni moto utokanao na vimiminika vinavyowaka, ambao wengi huuita moto wa mafuta.
3. Daraja C
-Huu ni moto utokanao na gesi...
Inashauliwa urefu 1.5M hadi 2M kwa sababu za Kiusalama, lakini Pia ukizidisha kuweka Pipe ndefu zaidi Flow ya Gas Pressure yake inakuwa ndogo kidogo... Unaweza kuweka Pipe ndefu zaidi ya hiyo 2M ila zingatia sana Usalama
MATUMIZI SAHIHI YA JIKO LA GESI
No. 1
Gesi ya kupikia yaweza kuwa ya asili (natural gas), mitungi ya gesi (liquified petroleum gas) na gesi inayotokana na kinyesi (biogas)
No. 2
Gesi hizo ni zile ambazo zina tabia ya kuwaka kama vile butane, propane na methane.
No. 3
Gesi ni nishati nzuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.