Recent content by Ankara

  1. A

    Russian firm plans to build research nuclear reactor in Tanzania

    Tatizo la taifa hili hatuna elimu ya kutosha kujiingiza katika uvunaji wa madini hatari kama hayo URANIUM. Tunakurupuka kwa sababu mtu amekatiwa asilimia yake tayari offshore accounts (vijisenti) na anatoa baraka zake kuwaangamiza watu wanyonge. Jamani URANIUM ni madini HATARI SANA kwa binadamu...
  2. A

    Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

    Uliyoyaeleza katika comment yako yana ukweli asilimia 100. Lakini basi, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama navyo visitumie hovyo sheria kama hizi katika utendaji wao wa kazi. Wasimnyanyase wala kumkandamiza mtu kwa ajili ya kuwafurahisha watu au kundi fulani. Yanayomkuta ndugu yangu Melo ni...
  3. A

    Mabalozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamlima barua Waziri Mkuu kuhusu Albino

    Ni aibu, wazungu kuwa na "huruma na kujali utu", sisi hatujali na tunaishia kulaani tu! Hivi katika ulimwengu huu, tunatawaliwa na mambo ya kishetani kweli? Tutafika wapi ikiwa hata baadhi ya viongozi na wakubwa ni wafuasi wa mambo haya. Mwenyezi Mungu Amlaze Mahali Pema huyo mama. Na Awalaani...
  4. A

    Mafuriko makubwa Same Mjini leo

    Ahsante kwa taarifa yako. mimi niko korogwe naelekea mwanga. bora nilale hapa, nisafiri kesho maana muda huu visibilty sio nzuri. ahsante sana
  5. A

    Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

    Kweli kabisa.Kukosoa huko ingalau kungefanywa na spika au from the other parties. lakini huyo jamaa tunaemzungumzia wote tunajua ni mroho. Wa chakula na hata uroho wa kuropoka. Nyumbani kwangu, mimi na spouse wangu tunapozungumzia uroho wa kula tumebatiza neno "uroho" kuwa "shibuda". Maana Mh...
  6. A

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Hizi ni changamoto katika jamii. Shetani anataka kuvunja uelewano uliopo kati yetu sisi waTZ. Kitendo alichokifanya huyo mtoto ni kibaya kuliko lakini Mwenyezi Mungu ndiye atakae mhukumu huyo kijana sio sisi. Gravity ya uharibifu wa mali ni mkubwa kuliko kitendo cha yule kijana. Tungemhukumu...
  7. A

    aunt ezekiel na shilole balaaaa!

    we acha tu.wanaweza kushiriki ktk hafla hiyo kwa kuongea maneno mazuri na fans wao na naamini watawapenda tu. Ila kwa kucheza vile what do they gain? Ila sasa, our uncles zetu ndio wanachotaka. si unajua tena generation ya vijana wetu siku hizi! Kazi kweli x2.
  8. A

    Mnakumbuka haya Mafiati, na Madereva wake walikuwa Wasomali!!!!!

    Enzi hizo wale madereva wa kisomali walikuwa na tabia ya kulichezesha tela unapoanza kuwa overtake katika hiyo barabara nya TANZAM HIGHWAY kama ilivyojulikana hapo zamani.. walikuwa wanawasababishia ajali za kusudi ili wawa sachi majeruhi na maliokufa. They were very notorius for that. na hizo...
  9. A

    Mnakumbuka haya Mafiati, na Madereva wake walikuwa Wasomali!!!!!

    Nakumbuka katika nyumba ya mzee (dingi) pale Changombe karibu na Sigara Club, alimpangisha singa singa mmoja ambaye alikua anafanya kazi kampuni moja kule kule maeneo ya Changombe viwandani ilijulikana kama MOUNT CARMEL RUBBER FACTORY,ya Muisrael mmoja. Huyu singa singa alibuni kutengeneza...
  10. A

    Number za Magari tata

    na hii je? T OOO VUZ- Mpaka zitakapofika series za M, U na V labda utakuwa umetangulia mbele za haki. (Just jokin) anyway,inawezekana ustaarabu utaingia akilini kwa jamaa wa TRA.
  11. A

    Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

    At least the old man should show some respect to his daughters. Its typical non-African to utter such remarks concerning his daughters, a fact he cannot deny.
  12. A

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Kwa muda mrefu matamshi ya ZK huwa yana kaharufu ka u-opportunist. Nimesoma makala ya Zitto ya Miles Zenawi (RAIA MWEMA)na nafikiri alikuwa hamuelewi vizuri Zenawi na ikanipa shaka juu ya fikra zake na upeo wake katika siasa. Namshauri ajikite kusoma vitabu vya scholars na aongeze elimu...
  13. A

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    hapana asipewe jamani. Itamuuma sana sana. Plz asipewe. Athari zake zitamuathiri.
Back
Top Bottom