Recent content by anjnr

  1. anjnr

    JamiiForums Tanzania WhatsApp GB imekumbwa na kitu gani?

    Clear cache....,
  2. anjnr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wasio na makalio makubwa, sina cha kuwasaidia. Huwa mna gubu sana!

    Moshi hapo siyo Mby
  3. anjnr

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Mturudushie JUKWAA LA WAKUBWA
  4. anjnr

    JamiiForums Tanzania Mfahamu dereva aliyetumia saa 12 Dar - Songea miaka 90

    Nimewahi kupanda basi linaitwa Lucky Star, tulifika Ubungo saa 8 mchana likitokea Mby....
  5. anjnr

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Hii ni very confusing...., kwahyo kumbe napotembea kwenye mizunguko ya kawaida mtaani kwenye hizi speed za 30, 40, taa inatakiwa iwake kwenye dashboard...., nikiwa highway kwenye maspeed 80 huko ndo taa izimwe hapo kwenye dashboard..., ndivyo navyoelewa sasa. Na je nini madhara ya kufanya...
  6. anjnr

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Daaa..., kwahyo tutembee taa ya O/D ikiwa inawaka kwenye dashboard au ikiwa imezima mkuu....?
  7. anjnr

    JamiiForums Tanzania Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    [emoji23]
  8. anjnr

    JamiiForums Tanzania Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Daaaa, hili linawezekana aisee..., kwahyo kuna namna ya kubadilisha?
  9. anjnr

    JamiiForums Tanzania Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Okay, kama muda gani hivi.., ni siku ya nne leo
  10. anjnr

    JamiiForums Tanzania Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Ndiyo hakipo active
  11. anjnr

    JamiiForums Tanzania Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

    Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
  12. anjnr

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Recommendation ya fluid kwenye gari yangu naipata wapi?
  13. anjnr

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Duuu, kumbe hydraulic ukiwekewa fake ina madhara hivi?
  14. anjnr

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Namna ya kupata hiyo engine nzuri sasa...., Mshana kukupata kwa PM, naona haiwezekani
  15. anjnr

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante mkuu, kumbe yaweza kuwa afadhali kutafuta engine kuliko kufanya overhaul, kwakuwa gharama kama vile zinalingana....
Back
Top Bottom