huo ni uchafu na ulimbukeni wa mapenzi. Acha kuwa mshamba wa mapenzi. Unaonekana kama wewe ni mroho sana wa mabinti wadogo. Na uhakika unawea hata kutembea na binti yako wa kumzaa kam siyo mama yako mzazi au dada yako. Unamuonyeshaje binti mwingine maumbile yako? Jiheshimu si kila mtu unamvulia...
Nina rafiki yangu tunapendana na ana mpenzi. alinisimulia kitu fulani amabcho hata mimi nimeexpirience. Ni kawaida mpenzi au mume wako anapotoka kazini au katika sehemu yoyote mwanamke unapaswa kumpokea na kumwambia pole. Aidha atakuwa amebebe mzigo wowote labda mapochopocho ya nyumbani au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.