Utajuaje kama mpenzi wako ni mwaminifu au la?

Anizetha

Member
Jan 16, 2012
17
0
Nina rafiki yangu tunapendana na ana mpenzi. alinisimulia kitu fulani amabcho hata mimi nimeexpirience. Ni kawaida mpenzi au mume wako anapotoka kazini au katika sehemu yoyote mwanamke unapaswa kumpokea na kumwambia pole. Aidha atakuwa amebebe mzigo wowote labda mapochopocho ya nyumbani au begi la Laptop ama chochote ameshika mkononi.

Mwanamke utampokea kuonyesha hali ya maenzi kwake, katika mizigo hiyo pia mkononi atakuwa ameshika na simu zake ambazo si chini ya moja na zenyewe utataka kumpokea hizo simu lakini akakukatalia. MWANAMKE UTAHISI NINI?

Au hana mzigo wowote zaidi ya simu zake tu na utakapoenda kumlaki na kumpokea akakukatalia.Mwanzoni ilikuwa ni kawaida unampokea kila kitu ata simu, labda muda umeeeeeeeeeeeeenda sana na kukawa na tofauti haitaji tena umpokee simu zake.

KUTAKUWA NA LOLOTE AMBALO SI JEMA?
 
usimchunguze sana bata banaa...
wewe enjoy your part
hakuna mwanaume mwaminifu...
wanaume wote ni sawa tofauti majina tu my dia....
 
Ni kawaida mpenzi au mume wako anapotoka kazini au katika sehemu yoyote mwanamke unapaswa kumpokea na kumwambia pole. Aidha atakuwa amebebe mzigo wowote labda mapochopocho ya nyumbani au begi la Laptop ama chochote ameshika mkononi.

Mwanamke utampokea kuonyesha hali ya maenzi kwake, katika mizigo hiyo pia mkononi atakuwa ameshika na simu zake ambazo si chini ya moja na zenyewe utataka kumpokea hizo simu lakini akakukatalia. MWANAMKE UTAHISI NINI?

Au hana mzigo wowote zaidi ya simu zake tu na utakapoenda kumlaki na kumpokea akakukatalia.Mwanzoni ilikuwa ni kawaida unampokea kila kitu ata simu, labda muda umeeeeeeeeeeeeenda sana na kukawa na tofauti haitaji tena umpokee simu zake.

KUTAKUWA NA LOLOTE AMBALO SI JEMA?

Eeeh! Kina mama mna kazi!!
 
usimchunguze sana bata banaa...
wewe enjoy your part
hakuna mwanaume mwaminifu...
wanaume wote ni sawa tofauti majina tu my dia....
hapo nakataa Smile !! labda ungesema wanaume wengi si waaminifu...(kama ilivyo kwa wanawake pia) but sio neno "wote"!!
 
ni kweli rafiki na walizaliwa tumbo moja. Hakuna mpolewala mkali. Tabia zao ni sawa
 
sasa wewe kuna jambo watafuta labda presha za kujitakia huo ni wivu tu vitu vingine huwa havipokelewi mpenzi anaweza kukuachia simu siku nzima na usione kitu lakini haimaanishi kwamba ni muaminifu kwako technologia imerahisishwa sana.

timiza yaliyo yako furahia nafasi yako acha mawazo potofu sababu hajakupa sababu ya kufanya ivo maana hapo sioni sababu labda kama una lingine umeficha.
 
wangu muaminifu lol kazi kwako smile...............:drama::coffee:

usimchunguze sana bata banaa...
wewe enjoy your part
hakuna mwanaume mwaminifu...
wanaume wote ni sawa tofauti majina tu my dia....
 
Wako unapokuwa nae, akiwa mbali ni wa kila mtu. Binadamu hachungiki kama mnyama hata ufanye nini. Ni kwa kumuogopa Mungu na kutenda sawa na mapenzi yake na kupata usaidizi wa Roho Mtakatifu ndio mtu anaweza akayashinda majaribu hata ya kukaliwa uchi na mwanamke au kuhongwa milioni mia na mwanaume na hapo ndio uaminifu utakuwepo. Vinginevyo kwa kutumia nguvu zetu wenyewe ni vigumu ingawa kuna wanaoendekeza umalaya kwa tamaa za kijinga wakati mwingine.
 
kama kuna mwanaume hajawai kusaliti aje kulike hapa......
..ningekuwa na namna ya kukuhakikishia hili ningefanya Smile , but usiwahukumu wanaume wote duniani kwa sababu ya makosa ya watu wachache ktk maisha yako!!
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe kuna jambo watafuta labda presha za kujitakia huo ni wivu tu vitu vingine huwa havipokelewi mpenzi anaweza kukuachia simu siku nzima na usione kitu lakini haimaanishi kwamba ni muaminifu kwako technologia imerahisishwa sana.

timiza yaliyo yako furahia nafasi yako acha mawazo potofu sababu hajakupa sababu ya kufanya ivo maana hapo sioni sababu labda kama una lingine umeficha.

Umekomaa siku hizi...
 
Back
Top Bottom