Recent content by Animal Farm

  1. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda: Polisi Arusha kuwa Kivutio cha Watalii na watapewa Sare Maalum

    Aisee! Wewe ndio umesema ukweli kabisa! Huyu hajitambui. Polisi wa kawaida wanahusika vipi na watalii? Wao wafanye doria Matejoo, UNGA ltd, Ngarenaro, nk wakamate vibaka TU. Kwanza kimalikia ni changamoto sana!
  2. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Lipumba: Kwa wastani wa vituo na idadi ya waliotajwa kupiga kura, isingewezakana kumaliza kwa siku moja

    Umesema ukweli kabisa! Ndumilakuwili mkubwa sana!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wassira: Lukuvi alijiunga TANU 1954

    Kama amesema hivyo kweli basi fisiem ni laana kubwa sana kwa nchi hii!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mdau ahoji magari ya serikali kuwa katika haraka wakati wote

    Viongozi wengi ni WA hovyo na madereva wao ni WA hovyo sana. Halafu Kuna wengine huwa wanawahi mademu TU Wala sio ishu ya maana kiviiile!
  5. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

    Huyu ni mpumbavu sana. Wala usimjibu. Anafikiri bibi anaongea from no where? Chawa mpuuzi sana hajitambui kabisa!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

    Umesema ukweli kabisa! Fisiem ni laana kubwa sana. Project ngapi zimeanzishwa na zote zimekufa na watu wametajirika kishenzi. Kilimo kwanza Iko wapi? Upuuzi mtupu!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Siasa ndani ya vyama ziliwakataa Prof. Mwandosya na Salim A. Salim zikatuletea Jakaya Kikwete na hapa ndipo tulipo sasa

    Salim alikuwa kichwa yule, mtu aliyeteuliwa kuwa balozi akiwa kijana mdogo sana, sio sawa na Hawa wapuuzi!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Kwani hata watawala wako wa sasa wanajali hiyo elimu au wazazingatia kuzalisha machawa waliokubuhu ili waendelee kuwa madaraka I TU? Usiwalaumu wakoloni, wale ni wakuja, laumu wenzako ngozi nyeusi, wanapenda Kila mtu aende kwa Mwamposa TU!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Shule Msingi achinjwa kwa kutenganishwa kichwa Katavi

    Haya ndio mambo ya kushughulikia zaidi kwa serikali kutoa elimu nzuri na ya kuaminika kwa jamii badala ya kuwa bize kufuatilia chadema kwa gharama kubwa na muda. Watu wengi hawajitambui kabisa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Donald Trump atangaza kusimamisha vita na Iran kwa siku 5 kuanzia leo

    Acha uchawa wewe! Hiyo ni typing error TU sio kwamba hajui kiingereza!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema bado ipo?

    Umemwambia ukweli kabisa huyu chawa. Anaitaja taja kwa kuwa ipo imara sana.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana, waraka wa kwaresma wa TEC-2026 upo tayari na umejaa maoni binafsi ya katibu mkuu wa baraza hilo pekee

    Huyu chawa ni mpuuzi sana na amekosa Cha kufanya!
Back
Top Bottom