Recent content by Anikajema

  1. Anikajema

    Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

    Kwahyo mungu wenu hakutaka sisi tuishi milele, inamaanisha ana roho ya kukunja?
  2. Anikajema

    WACHOKONOZI: Watanzania wasusie mechi zote za Taifa Stars

    Sasa wenyewe hawaamini chochote yaani hawaamini kwenye kuamini.
  3. Anikajema

    Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

    Allah na mtume wake waliona mbali sana, walijua tukiruhusu kila ale huyu kiumbe ,,atatoweka duniani, Imagine angekuwa analiwa na waarabu daaah,
  4. Anikajema

    Kiranga na jamaa zake wanaweza wasionekane kwenye thread mbalimbali lakini uzi wowote unaomsifia Mungu huwakosi

    Duuh nchi inawatu wengi😄😄 Vitu vingine muwe mnanyamaza basi mnatufanya mda mwingne tuonekane sisi ni mazombi ya waarabu na wazungu, Kwahyo sisi tunaposema Mungu mwenye nguvu,asieshindwa,anaejua kila kitu kabla na baada,mwenye upendo mwenye huruma mwenye hekima na busara, ,,unafikiri Hawa...
  5. Anikajema

    Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

    Sa mbona simple sana? Huwezi kushindana nae we ungana nae tu, Ila ujinga wa dini ndo wanasema et mtateswa kwa ajili ya jina langu😄😄😢
  6. Anikajema

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Huko katikati ukipita hydomu ukiwa unaenda Arusha Kuna vijiji ni vyaajabu aisee Bado kule watu wanatembea maziwa njenje wanachofunika wao ni pap*ch* tu, nilishangaa sana, mtu anabeba kuni mgongoni, maji anabeba mgongoni mpaka nikajiuliza raisi wetu huyu huyu aliepo daslam ndo anaongoza na Hawa...
  7. Anikajema

    Wakuu wapi nitapata futari nzuri Dodoma?

    Nenda mwambao hapo mbona uhakika? Ukikosa unakunja Kona hapo taste tamu unakula burger Yako tamu kabisa
  8. Anikajema

    Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Hiyo dini ya haki inawalipa sh ngapi hao wafuasi wao,? Maana mwisho wa yote no 💰 no maisha, kwahyo hata ujue kabisa bila pesa usingeweza kupost hata hichi ulichopost. Tafuta elaaa wachana na haki na ujinga mwingne.
  9. Anikajema

    Mbona hizi dini zinachanganya?

    N Nim3cheka sanaa
  10. Anikajema

    Kutumia Msalaba kama ishara ya ukristo na kanisa si sahihi

    Yani wenye dini yao wameamua hivo wewe unaanza complaining
  11. Anikajema

    Ukiiangalia vizuri dunia ni kama imesimama

    Kwahyo we unatakaje saivi mimba zibebwe na wanaume ndo ujue kuwa ni ugunduzi mpya au? Maana sisi hata tukitumia umeme ule aliowahi kuutumia babu ila tukautumia kwenye kubuni vitu vipya inakuwa hatuna ubunifu kisa tumetumia umeme ambao wao pia waliwahi kuutumia?
  12. Anikajema

    Ukiiangalia vizuri dunia ni kama imesimama

    Wewe ni mkosoaji au muwazaji? Sasa nakwambia ugunduzi tunaoufanyia utafiti na tunao udrafiti nikufika marekani ndani ya nusu saa, ili tukamilishe ile kauli ya dunia kijiji
Back
Top Bottom