Recent content by Angyelile99

  1. Angyelile99

    Dhambi za kufanya ziko nyingi ila hii ya kutelekeza mtoto achana nayo!

    changamoto moja wapo kubwa inayo perekea wanaume wengi kua ba ujasili wa kukimbia familia na kuterekeza watoto. ni pamoja na kushikilia Kauli na fikra potofu ambazo zimekua zikitumika katika jamii. kuna msemo wa akikua atanitafta.
  2. Angyelile99

    Mazingira ya ukuaji wa deni la taifa

    deni la taifa mpaka sasa limekishwa kufikia asirimia 97 ambayo ni sambamba na sifa za mchi zisizo weza kukopesheka kwa baadae kama tu halito rejeshwa kwa wakati. nini sababu za kukua kwa deni hilo. kuna sababu kadha wa kadha, na miongoni mwake ni kama; 01 Rais kukosa washauri wazuri na...
  3. Angyelile99

    ukoloni ndani ya uhuru wa mtanganyika.

    mitaba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI 1.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini 2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya...
  4. Angyelile99

    Barua ya wazi kwa Rais Samia; Uduni wa matokeo kidato cha nne shule za Umma

    BARUA YA WAZI KWA RAIS @SuluhuSamia Mhe. Rais, ninaamini barua hii inakukuta ukiwa na uzima tele. Nina takwimu kidogo nahitaji kukushirikisha. 1. Shule ya Sekondari Chamazi hapo jijini Daresalaam yenye wanafunzi 2,800 ina mwalimu 1 tu wa somo la kiingereza. Wanafunzi 409 kati ya 624...
  5. Angyelile99

    No need for changes on this

    politicians state that a teacher should required to use non violent means to handle students with poor behaviour. but while they are talking about it, they fail to display even one non corporal ways that any teacher might use. by myself I believe that. no other way out of sticks. am talking...
  6. Angyelile99

    No need for changes on this

    No more reason to judge about it. we need to suspect our African students about, after denying a corporal punishment how they will be in schooling life. what are the alternative Tanzanians teachers will use to handle their pupils... and the issue is how many cases has been happened about...
  7. Angyelile99

    Viongozi wa serikali watumie saiti zao kukumbusha majukumu ya wazazi kwenye maendeleo ya kitaaluma kwa watoto wao mkoa wa Manyara

    Dah. aisee kuna changamoto kubwa sana watumishi wa umma haswa waalimu ambao sio wazawa wa mkoa wa manyara. Kumekua na changamoto ya wazazi kusikiriza taarifa wanazo ambiwa na watoto wao zisizo na ukweli wowote juu ya mambo yanayo endelea shule. vijana wengi wamekua ni wavivu wa kuhudhuria shule...
  8. Angyelile99

    Janga linalo weza epukika

    ni kwel mybe. ndio maana wakati mungu anaumba mamba ,Aliona ni vyema kukawa na kenge. ambao ukishindwa kuturiza kichwa. basi wote utajua ni mamba
  9. Angyelile99

    Janga linalo weza epukika

    we need to know that. haitakiwi kutukana ukiwa kama mtu unae reply alicho andika mtu kwa kauri ngumu. wala wewe ulie andika hicho kitu hautakiwi kurudishia comment ya mtu kwa maneno makali. emu tujaribu kutumia majukwaa haya yaliyopo JamiiForums kuonesha utashi wetu wa kufikiria juu ya namna...
  10. Angyelile99

    Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

    bari wameficha mili zao tu haziwi calculated ipasavyo na TRA
  11. Angyelile99

    Maajabu ya ujinga kwa baadhi ya watumiaji wa mitandao

    Jambo la kwanza: ni Tanzania pakee. utakuta mtu kwenye jina la profile ya akaunti yake ya mitandao ya kijamii. anaweka na neno PhD ama Professor ili tu kujitambulisha kwa watu kua ana taaluma ya namna hiyo. Ila tukirudi kwenye ufanisi wa kiutendaji kwenye nafasi aliyopo ni ziro kabisa. La pili...
  12. Angyelile99

    Vijana wengi wanapo hitimu elimu za O Level na A Level hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari

    Kutokana na uelewa mdogo wa taaluma mbali mbali. Vijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria. hakuna cha ziada
  13. Angyelile99

    KERO Mashine za Mpunga zimekuwa kero na hatari kwa Afya za watu hapa Soko la SIDO - Mbeya

    ila ni kweli, kumekua na changamoto hii ya mabaki ya mpunga kua kero saana. napendekeza hizi mashine kama inawezekana zingehamishwa na kupelekwa pembeni ya mji kidogo ili kukifanya soko la SIDO kua safi
  14. Angyelile99

    Serikali izingatie hili

    Moja: Hesabu nyepesi, bunge la Jamuhuri ya Muungano lina idadi ya Wabunge wasio pungua 360. Kama kila Mbunge akapunguziwa msahara na posho kwa kiasi cha jumla ya sh 1500000, nanaake huyu ataweza kuajiri waalimu watatu wa ngazi ya msahara wa laki 5 hi to kwenye wabunge 360 tutapata waalimu...
  15. Angyelile99

    Iran yapata kibali na Russia kuanza kutengeneza SU-30 na SU-35

    kikubwa ni kwamba kila mmoja anadili na changamoto zake. hakuana mahara Afrika utasikia watu 200 wafariki kwa kukosa maji, bali utasikia watu katika kijiji frani wanararamika kwa kufuata maji umbali mrefu. ila kwa upande wa Irani utasikia watu 1000 wauwawa na wengine 200 wajeruhiwa kwa vita...
Back
Top Bottom