Recent content by Angry Bird

  1. Angry Bird

    Swali: Mliofanikiwa kutumia mifuko mipya, inafaa kwa kubebea mboga yenye majimaji?(nyama au samaki) au unga wa kula?

    Sukari, unga mchele hivi kasha tia ndani ya kapu au hiyo mifuko iiliyoingia.
  2. Angry Bird

    Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

    Kama uko karibu na NMB fanya kama kuchungulia uone.
  3. Angry Bird

    Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa

    Upatikanaji wa hizo pesa sasa, kero mwanzo mwisho.
  4. Angry Bird

    Hivi Mishahara ya May 2019 ilishatoka ama bado?

    😥😥😥😥 At last imesoma.
  5. Angry Bird

    Kwa makosa haya, kuna haja ya wazazi kupitia vitabu ili kuhakikisha havimpotoshi mwanafunzi

    Hata huko vitabu vilivyopitishwa na serikali vina mapungufu chungu nzima.
  6. Angry Bird

    Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa

    Hawa watumishi wa siku hizi sidhani! Yaani dhamira zimekufa hawajutii chochote.
  7. Angry Bird

    Hii tabia ya wadada kutembea na waume za watu na kuzaa/ kuvunja ndoa za watu haikubaliki

    Laki 9 si haba ila hapo pa kutumbua pananiacha na maswali mengiiiii.
  8. Angry Bird

    Mada: Gharama za Nyumba za kupanga vs kukopa kujenga

    Kweli mkuu, NHC yenyewe imeshindwa kuweka bei nafuu kwa wananchi.
  9. Angry Bird

    Kauli gani mbaya ulizowahi kutolewa na watumishi au wahudumu wa sehemu fulani?

    Nilifreeze nikashindwa kusema nikabaki mdomo wazi. Nilishangaa sana.
  10. Angry Bird

    Tundu Lissu: Utaratibu wa Matibabu ya Mbunge umewekwa na Sheria ya Bunge

    This shows wewe ni mtu wa aina gani.
  11. Angry Bird

    Tundu Lissu: Utaratibu wa Matibabu ya Mbunge umewekwa na Sheria ya Bunge

    Ukifurumusha na wewe utafurumushwa.
  12. Angry Bird

    Tundu Lissu: Utaratibu wa Matibabu ya Mbunge umewekwa na Sheria ya Bunge

    Kinachonishangaza ni wewe kutamani kufanana na Iddi Amini. Inaogopesha sana kuwepo na watu kama wewe kwenye jamii yetu. Watu wenye tamaa ya power na madaraka ili wayatumie kufurusha na kunyanyasa wenzao wenye mawazo tofauti na wao. Watumie madaraka yao kunyima wenzao haki zao zilizowekwa...
  13. Angry Bird

    Tundu Lissu: Utaratibu wa Matibabu ya Mbunge umewekwa na Sheria ya Bunge

    Historia inatuambia Amini alikimbia UG baada ya jeshi la Tanzania kumsambaratisha. Unaweza ukakataa hii historia pia. Waganda walifurahi na kushangilia kama walivyofurahi alipoingia madarakani. Amini alikuwa na watoto zaidi ya 40 wako wapi? Nini ameacha dunia hii? Na kwa jinsi ulivyo na chuki...
  14. Angry Bird

    Tundu Lissu: Utaratibu wa Matibabu ya Mbunge umewekwa na Sheria ya Bunge

    Kuishi allivyotaka????!!!!??? Unachekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asingekimbilia ugenini. Angejibanza pale pale UG. Mtu mwenye mapenzi yote yale kwa nchi yake alikimbia ya nini?
Back
Top Bottom