Ujue zaman wanafunz walikuwa wanakula Sana ada lkn saiv wazazi ndo walaji wa Ada ,kumbe wale wanafunz wàliokuwa wanakula ada zaman ndo wazazi saiv[emoji3][emoji3][emoji3]
Siku hizi ukiwa barabarani ukipishana na watu 10 basi 6 hadi 7 wanatumia sigara haijalish ni ana umri gani yaani vijana kwa wazee na la kushangaza sasa hivi wanawake nao wanazivuta Sana sigara tena hadharani bila hata uoga.
Moshi wa sigara unaotoka mdomoni au puani kwa mvutaji wa sigara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.