Ongezeko la ma inspirational speaker

Ongezeko la ma inspirational speaker

mimi ni miongoni mwao niseme ni kapa kipaji tu hua napenda kushauri watu hasa wale ambao washapoteza matumaini na kukata tamaa au msongo wa mawazo unaotokana na mapenzi hua napenda ila nina kazi yangu tofauti kabisa
 
Vp ww ikitokea umekata tamaa na una msongo wa mawazo unafanyaje
 
Karne hii ya 21 duniani kote wimbi la watu wanaojiita inspirational speaker wameongezeka Sana ndani ya jamii zetu.

Lakini cha kushanga wanajamii wengi si wafatiliaji wa hayo mambo, shida ni nini wanajukwaa
Nao wanatafuta unga wa watoto wao.
 
Kuna mmoja anajiita prophet. Eti anawaombea watu utajiri. Kutwa kuwaomba tena wamchangie akiwa na safari. Sasa unajiuliza yeye kashindwa kujiombea kupata huo utajiri walau asiwe ombaomba ?
 
mimi ni miongoni mwao niseme ni kapa kipaji tu hua napenda kushauri watu hasa wale ambao washapoteza matumaini na kukata tamaa au msongo wa mawazo unaotokana na mapenzi hua napenda ila nina kazi yangu tofauti kabisa
Wewe haujawahi kata tamaa ?Haujawahi poteza tumaini ?Au huwa unawaambia njia ulizotumia ukashinda pindi ulipopoteza tumaini.
 
Na wao ndo wanatafuta ugali hivyo
Kwamba walishakuwa inspired na inspirational speakers wenzao na baada ya kuona mafanikio ya hao wenzao nao wakaamua kufanya kazi hiyo.
 
Hivi na wale wazee wa Good morning hata ikiwa usiku nao siwako kundi hili
 
Jamaa mmoja alitoa hints za kupata viewers wengi YouTube ilihal yy mwenyew kashindwa kuzitumia kwani ana viewrs kumi wakati video Ina miaka minne na miezi kadhaa...binadamu huvutika zaidi na kupata nguvu pale wanapoona watu waliofanikiwa kwenye field,aspects mbalimbali ndo wawape inspiration...leo hii akisimama mtu Kama Dangote,Bernard Arnault,Sergie brin,Musk au hata tu SSB,Warioba,Kikwete unaweza kupata relief fulani kwa kuangalia walivofanya...wachache sana wanaoridhika na maneno matupu,watu wanataka kusikia hustles zako mbalimbali ulizopitia hii italeta maana zaidi, mwanajeshi aliyepigana vita ya kagera ndiyo ana hadithi tamu zaidi kuliko mwandishi anayekusimulia kwa kusoma vitabu.
 
Karne hii ya 21 duniani kote wimbi la watu wanaojiita inspirational speaker wameongezeka Sana ndani ya jamii zetu.

Lakini cha kushanga wanajamii wengi si wafatiliaji wa hayo mambo, shida ni nini wanajukwaa
Jamii inataka mada za ngono, muziki na mpira. Hayo inspiration tuwaachie weupe
 
Jamaa mmoja alitoa hints za kupata viewers wengi YouTube ilihal yy mwenyew kashindwa kuzitumia kwani ana viewrs kumi wakati video Ina miaka minne na miezi kadhaa...binadamu huvutika zaidi na kupata nguvu pale wanapoona watu waliofanikiwa kwenye field,aspects mbalimbali ndo wawape inspiration...leo hii akisimama mtu Kama Dangote,Bernard Arnault,Sergie brin,Musk au hata tu SSB,Warioba,Kikwete unaweza kupata relief fulani kwa kuangalia walivofanya...wachache sana wanaoridhika na maneno matupu,watu wanataka kusikia hustles zako mbalimbali ulizopitia hii italeta maana zaidi, mwanajeshi aliyepigana vita ya kagera ndiyo ana hadithi tamu zaidi kuliko mwandisho anayekusimulia kwa kusoma vitabu.
Unaongea kweli,ingawa hata hao matajiri atakuambia tu alivyokuwa maskini na alivyoanza kuuza mchicha mpaka ukaanza kulipa.hatokuambia ukweli halisi alitokaje huko kwenye mchicha
 
Kuna jamaa angu kule Arusha yey Ni muandaji na nimuamazishaji wa ccm na pia huandaa mikutano na semina mbali mbali za kuwafindisha watu ujasiriamali wakt yey mwenyewee biashar zimemshinda ajabu Ni kuwa zile semina zak kumbe ndio njia anazotumia kuwapata wadad ananimbia ana uhakika wa kupta mademu wengi na kuwachakta vibaya mno .amesha chakata mademu mpk wengine wamezaoishwa watoto kwa jmbo Kama hili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha utani uo
 
Back
Top Bottom