Angina
Senior Member
- May 13, 2018
- 142
- 138
Nakumbuka enzi za utoto wetu kulikuwa na matasha mengi ya dini na yalikuwa yanaambatana na sinema hasa nyakati za usiku. Kuanzia mchana hadi mida ya jioni ilikuwa mahubiri na ifikapo mida ya saa moja jioni tunaangalia sinema bure kabisa.
Sasa hii imekuwa tofauti na ulimwengu wa Sasa ambapo matamasha mengi ya dini bila pesa yaani kiingilio huwezi shiriki katika matasha hayo.
Na kwa sasa matamasha hayo yamekuwa yaki promotiwa Sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari na kiingilio sio pesa ndogo mfano laki moja na kuendelea [emoji849][emoji849]