Unajua kujenga hoja, hapo nimekupenda..ila ukweli ni tofauti na usemavyo..kwa nini. Nifwate Pm kama thread hii umeandika ww..unaweza fanya kitu kwa ajili ya nchi yako...uko na akili unic sana hongera.
Umeongea ukweli mtupu endelea kumuomba Mungu utapata ila ni vizur ungeanza kwa kujiajir njoo Dm nitakupatia mtaji uanze hata kuuza juice hy itakusaidia na kukupa sababu ya kukutana na watu watakaokusaidia
Habari zenu wanajamvi wa MMU, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo.
Simu haina tatizo kabisa.
Imetumika kwa miezi mitano.
charge yake ipo original.
Bei ni Tsh 250,000/=
Pungufu Tunazungumza.
Kwa anayeitaji tuwasiliane kwa Simu no. 0719272802
Pole Sana mkuu...but unachotakiwa kujua yapo magonjwa hatari zaid ya HIV ingawaje watu wanayachukulia simple, Kama vile Presha, Homa ya ini na saratan but still maisha uanendelea ila tambua kwanza hatua uliopo sasa ni nzuri kwa sababu unajua kuwa ww ni HIV+ hiyo ni hatua kubwa Sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.