Recent content by Angelo007

  1. A

    JamiiForums Tanzania Watekaji wanamharibia Rais Samia pamoja na kazi hizo nzuri anazozifanya

    Watanzania wanafiki sana, kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa yanayoendelea samia hajui?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza mark two grande yangu

    Ndugu Wana JF nauza gari langu milioni 5 aina ya mark two grande ya mwaka 2003, engine capacity CC 1980, engine 1G-FE VVT-i mawasiliano calls/WhatsApp 0789208897
  3. A

    JamiiForums Tanzania Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

    Ingeakua kwetu isingetokea
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

    Wenzenu wanaongeza baada ya kuboresha usafiri wa umma, Sasa waongeze Sasa hivi kwa usafiri upi wa umma?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wakilipa kodi ndio wataweza kuwadhibiti viongozi wao. Lakini sio kwa nchi yetu ambayo walipakodi hawafiki hata robo ya idadi

    Mimi sio kazi yangu kujua, mfumo wa nchi ndio kazi yao coz wewe utanunua kwa bei ile ile ambayo ina Kodi ndani, risiti sio kila sehemu zipo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wakilipa kodi ndio wataweza kuwadhibiti viongozi wao. Lakini sio kwa nchi yetu ambayo walipakodi hawafiki hata robo ya idadi

    Kama ni ya magendo ni udhaifu wa mfumo sio mnunuzi, sisi tunachojua VAT analipishwa hata ukienda kununua diapers za mtoto mchanga
  7. A

    JamiiForums Tanzania Marekani yaomba msaada kusaidiwa kutengeneza makombora hypersonic

    Vita umeita wewe, Putin alisema special operation na itaisha ndani ya miezi michache, Sasa hv miaka
  8. A

    JamiiForums Tanzania CCM fanyieni kazi kero hizi mbili za Muungano

    CCM hawategemei kura yako bali polisi na usalama
  9. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni heri siku moja CCM ikakabidhi nchi kwa ACT kuliko kuwapa CHADEMA?

    Act chama cha mfukoni cha kikwete au Act nyingine?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Hawa jamaa wapo tayari washinde uchaguzi kwa gharama zozote, kila kuhamisha watu ni pesa hapo za mlipa kodi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Mbona magu hakuwai kwenda na maisha halienda, hata gharama za maisha hazikua juu kiasi hiki
  12. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli wangenyooka hawa

    Yaani viwango vya lissu umuweke makonda?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Atii baba mtakatifu, mtu anaruhusu ushoga
Back
Top Bottom