Recent content by Angelo Kabanda

  1. Angelo Kabanda

    Alichokifanya Kenyatta ni Akili, Hekima na Busara sio Nguvu

    Ni raisi mwadilifu Sana, sio Siri God bless you Kenyatta
  2. Angelo Kabanda

    Msaada please computer yangu inasumbua hapa wakati wa kuwaka

    Leo wakati na install Windows 8.1 nilijikuta naformat local disk C kuangalia kumbe Window setup haikuwa inasatisfy computer Hivyo nikarudi kuwasha komputer yangu ili nilog in ila ikagoma ikaniletea errors sasa sijajua namna Ya kudeal na hili Tafadhali naomba mnisadie Ilikuwa inaonekana...
  3. Angelo Kabanda

    Msaada aliyewahi kunufaika na mkopo TSSF anisaidie

    Ooh wenyewe wanariba kubwa zaidi ya serikali Duuh Nafanyaje unanishauri??
  4. Angelo Kabanda

    Msaada aliyewahi kunufaika na mkopo TSSF anisaidie

    Salamu kwenu Mimi ni mmoja wa waliokosa mkopo heslb Naomba kuuliza kwa mnufaika yeyote WA mkopo toka heslb anijuze au anishauri niombe au laah
  5. Angelo Kabanda

    Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Unapatikana chuo kikuu Dodoma UDOM Kuhusu ajira sifahamu kuhusu
  6. Angelo Kabanda

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Mi Naomba kuuliza Sijalipia tuition fee Nimelipia pesa zingine Direct cost Udoso Quality assurance Naweza kupokelewa Leo nikienda kuripoti ?? Msaada please
  7. Angelo Kabanda

    Kwa UDOM, nimelipa gharama nyingine lakini siyo ada, je nitapokelewa?

    Mimi nimelipia gharama nyingine Za udom Direct cost Na udoso fee Na quality assurance Vipi naweza kupokelewa ?? Sijalipia Ada (Tuition fee) Naomba msaada
  8. Angelo Kabanda

    Msaada Kwa walio chaguliwa UDOM

    Ooh Shukrani Tajitahidi maana Nilikuwa sielewi, siku zimefika ila daah
  9. Angelo Kabanda

    Msaada Kwa walio chaguliwa UDOM

    Mimi nilikoconfirm second round udom, ila Mpaka sasa sijapata joining instruction wala admission letter Naombeni kwa yeyote mwenye nazo anisaidie,, maana Mpaka sasa sijui nafanyaje Msaada please
  10. Angelo Kabanda

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Mimi Sina hela ya kulipia nategemea Mungu akijalia mkopo Sasa Sijui tufanyaje siku ya kuripoti???
  11. Angelo Kabanda

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    KAMA kuna group LA BSCE udom Naomba tujuane mwaka wa kwanza (Computer Engineering) Mpaka ssa sijapata joining instruction Nilipata second round msaada
  12. Angelo Kabanda

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Ingia kwenye website,, then announcements Utakuta namba Za kutuma Name, programme and f4 index
  13. Angelo Kabanda

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Jamani samahani Naomba msaada juu ya ku confirm udom
Back
Top Bottom