Dear future hubby
Nipo mke na bonus ya three kids nakupa kabisa kwa jina lako.
Changamkia fursa
Yaani kama wamekunyanyasa huzalishi nakupa watoto kisheria kabisa
Check my PM
Tunapenda wawe na homework lkn iwe kitu walichofundishwa darasani ...Sasa unakuta mtoto hajafundishwa .Matokeo yake tunalipa ada na kufanya kazi yenu ya ualimu...inaboa mno..saa ngapi tutafute hela na saa ngapi tufanye homework...wapeni watoto homework baada ya kuwafundisha...sio kila mtu ana...
SIFA ZANGU
Miaka 32
Makazi Dar
Elimu Postgraduate
Mwajiriwa
Watoto 3
Mkristo
NIMTAKAYE
Natafuta mtu mzima kuanzia 37-45 asiye na malengo wa kuzaa tena na nitapenda awe na watoto .....tuunganishe familia na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu...wagane watapewa kipaumbele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.