Recent content by Angel44

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa kuzaa naye

    Hapo kwenye kilo naona siwezi kizi. Nimepita wat u wanted. All the best
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

    Pole sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuzaa kila mtoto na baba yake ni kudhihirisha ukahaba

    Ila wanaume nyie mfyuu si mnasema hamtaki kuoa single mom. Acha tuzae am plann niongezee watto 5 kila mmoja na baba yakr
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nyie baby daddies mnatutesa sana hamjui tu. Mwenzenu niko njia panda sielewi

    Nakuelewa sana. Nami napitia same situation kuzaa home na mtoto dah basi tu. Kuna vijineno hivi mwanzon viliniumiza nikawa kauzu flani i dont care imenisaidia sana. Now kuhusu huyo mbaba muandikishane mapema nyumba iwe mbali na kwenu. Abadilishe hati na kadi ya gari isome majina yako akupe ww...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake naomba mnijibu hili swali

    Sio kwel
  6. A

    JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Mimi nataka bonge la sherehe ukumbi mlimani city, mapambo ml 4, gauni langu sio chini ya ml 5, tuseme 60ml for harusi then honeymoon iwe Dubai kwa mwez 1
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wana JF yamenikuta ya huyu binti mwenye mtoto, tafadhali naombeni ushauri

    Nimesoma huko juu. Kama mkigombana anampigia mzaz mwenzie simu she is askin for attention. Mkogombana muombe msamaha mnunulie hata ka pipi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Looking for "Matured Woman" for Serious Relationship

    Dah many conditions hapo so from Moshi hutaki, aya bana ol the best
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie katika hili, nifanye nini kumrudisha baba mtoto wangu?

    Njoo dm nikuelekeze single mom mwenzangu Hapa staki wajue mbinu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke kuomba gemu ni umalaya au uwazi?

    Sioni tatizo sema wanaume wengine waii ukiomba shida ila normal tu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nliwahi liwa kimasihara kipindi cha babu wa loliondo,[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] Kaka wa besty yangu. Njiani tuligombana sana na besty wangu pombe hizi, so tunafika kule usiku sehemu ya kulala ni gesti tena tulipata chumba kimoja, ilitakiwa mm na besty kitandani then kaka yake sakafuni...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

    Zinasisimua sana
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Its normal gal. Wapnga tu muhimu wasikutane na kila mmoja ajihisi special
  14. A

    JamiiForums Tanzania Jamaa anamfuatilia mke wangu

    Trust ur woman. Then acheni kuponda single mums. If we are done we r done. Na tukipenda tunapenda
  15. A

    JamiiForums Tanzania Navutiwa na wanawake watu wazima

    Sio ww tu nahisi na wazee umri 70 na vimvii hivi yaani nahisi now ths is the husband
Back
Top Bottom