Leo nimependelea kushilikiana nanyi elimu hii ya ujasiliamali,karibuni kuchangia zaidi ili tupeane ujuzi zaidi;
Mjasiliamali
- ni mtu anayeiona fursa na kuifanyia kazi,
Ujasiliamili
- ni yale matokeo baada ya kuifanyia kazi fursa, Fursa malanyingi huwa ni changamoto iliyopo au tatizo au swali...
Nime maliza kidato cha nne na kupata iii-23, phy-C, chem-D, b/math-C, bios-C Je! naweza kusoma hapo kozi ya machenical engeneering kwa kuanzia diploma?
karibu utoe mtazamowako juuya hili, kipi bora KUWA NA NDOA ZA GHARAMA KUUBWA SANA AU KUWA NA NYUMBA ZENYE MAISHA MAZURI BAADA YA NDOA?
je nijambo jema kutumia gharama kuubwa sana kwenye ndoa na harusi zake na pesa zote zikaisha, baada ya ndoa maisha yakabaki kuwa ya kimaskini? katika jamii zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.