Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM...