Recent content by Aneman

  1. A

    Ushauri na fursa za biashara

    Mnakaribishwa wote kupata ushauri na fursa ya biashara hapa Tz. Kwa wale waliojaribu biashara mbalimbali bila mafanikio na kukata tamaa na wangependa kujaribu fursa nyingine tena ni-inbox nikupatie mawasiliano yetu. Usikubali kukata tamaa..songa mbele. Karibu
  2. A

    Ushauri na fursa za biashara

    Mnakaribishwa wote kupata ushauri na fursa ya biashara hapa Tz. Kwa wale waliojaribu biashara mbalimbali bila mafanikio na kukata tamaa na wangependa kujaribu fursa nyingine tena ni-inbox nikupatie mawasiliano yetu. Usikubali kukata tamaa..songa mbele. Karibu
  3. A

    Aliyekuwa muigizaji wa Isindigo maarufu kwa jina la Letti Matabhane Afariki

    R.I.P Letti Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  4. A

    Jinsi ya kupata leseni ya biashara

    Nashukuru sana nitaenda jumatatu Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  5. A

    Jinsi ya kupata leseni ya biashara

    TIN ninayo tayari Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  6. A

    Jinsi ya kupata leseni ya biashara

    Asante saaana nimeelewa..kwa mimi nina biashara ya nguo za kike na kiume nipo tabata..so ninaenda halmashauri ipi? Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  7. A

    Jinsi ya kupata leseni ya biashara

    Asante sana kwa ufafanuzi..nina biashara ya duka la nguo za kike na kiume nipo wilaya ya ilala tabata.. Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  8. A

    Jinsi ya kupata leseni ya biashara

    Heri ya xmass wadau wa JF..naomba kama kuna mtu yoyote anajua jinsi ya kupata leseni ya biashara anipe maelekezo naanzia wapi. Asanteni. Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  9. A

    Bwana harusi amfumania mkewe live miezi 3 tu baada ya ndoa

    Huyo shemeji yako naendeleaje sasa hivi? Na mkewe yuko wapi? Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  10. A

    Msaada,Kama kwa mtu anayefanya biashara ya viatu vya kina Dada

    Viatu vya aina gani? Vya dukani au mtumba? Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  11. A

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Elezea vzr mkuu wanapatikana wapi na kwa bei gani? Na kama wamepata chanjo Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  12. A

    Msaada Juu ya kusajili jina la biashara

    Asante ntakutafuta soon Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  13. A

    Msaada Juu ya kusajili jina la biashara

    Kwanini usiweke namba yako iwe rahisi kukupata singo?
  14. A

    Msaada Juu ya kusajili jina la biashara

    SINGO mi nahitaji kwa ajili ya Sole propreator, ni PM namba yako please Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  15. A

    Kuku chotara

    Asante naomba na namba yako ya simu
Back
Top Bottom