Recent content by android649

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kusudi la maisha ni nini?

    Unajua nikikaa na hawa watu wakanielezea haya mambo huwa naona kama naongea na mtu asie na akili yani eliesetiwa wewe mwelekeo wako ni huku.sijui huwa wana hisia gani bila kuhoji Ukihoji una kufuru, kivipi sasa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kusudi la maisha ni nini?

    Safi nakazia Tunafanya ibada ili iweje tunamuimbia ili iweje yani vyote ili iweje
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufukuzwa au kumfukuza mtu nyumbani kwako kisa umemnyima au kunyiwa mbususa

    Ndio maana wanaume tunatakiwa kuwa na backup mtu una hela bado unategemea mbususu moja huo ni ujinga Hapo kama nimenyimwa naita mwingine tuu madem kila mtu na njaa zake🤣
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi nyie mnawezaje kuingia humu JamiiForums kwa hiki kipindi mkiwa ndani ya Tanzania?

    Mwenzangu unatumia usafiri gani mimi nipo na thunder na juzi nilikua german jana usa leo england aisee safari zitaniua😂
Back
Top Bottom