”umeme bora na rahisi...tofauti Yake...unahitaji fedha na utaalamu wa uhakika” kauli yako inajichanganya Mkuu, ukisema Bora naelewa Utaalam unao na ukisema Rahisi ina maana Pesa zipo. Sasa tatizo ni nini?
Kwenye 16% jumlisha na asilimia za kodi zote ambazo Serikali itachukua ndio utajua jumla ya asilimia ambazo Watanzania watapata, liangalie kwa undani zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.