Naomba nichangie kidogo kuhusu watia nia wa ccm ambao tayari wamechukua form.Ukiangalia na kuchambua kwa umakini hotuba za watia nia wa ccm,Wengi wao walitoa ahadi tu na kwa kiwango kikubwa hawakuonyesha kwamba wanazitambua matatizo yanayowakabili watanzania.Kwa mfano:Matatizo yanayowakabili...
Mimi nafikiri tusifanye kufuru kwa mungu kwa kumuita binadamu ni sawa naye!.....Kumbukeni katika biblia takatifu inatuambia kuwa Mfalme herode alipokuwa akiongea,..watu wake walimshangilia kwa kusema kuwa sauti yake ilikuwa sawa na sauti ya Mungu!,...je, nini kilitokea?...Alianguka chini na...
Binafsi nafikiri kitendo hicho si cha kistaraabu,Kwani wangelimsikiliza then wakatae hoja zake!.But kuna historia mbaya itakayowafika hawa viongozi wetu,hususan walioko madarakani......'Kama watanzania watakumbuka vizuri,Serikali hii ya kikwete ndiyo serikali pekee ambayo viongozi wastaafu na...
Ni kweli Willium,Kwa sababu mara nyingi sisi kama watanzania tunapokuwa tunaangalia madhaifu ya mtu katika maswala ya msingi kwa taifa letu,Tumekuwa tukigawanyika kwa kuangalia mtoa hoja ni nani,anatoka wapi,chama/kambi gani,dini gani nk Badala ya kutafakari hoja.Kama kweli tunataka kiongozi wa...
Pamoja na kwamba membe ni mwanadiplomasia aliyebobea,Bado uwezo wa kujenga hoja,kutoa hotuba yenye mtiririko wenye ladha ni SIFURI KABISA.Kwa jinsi membe anavyotagaza nia yake,Anavyorukaruka katika hoja zake,Huenda akajikuta anakuwa na maadui wengi kutoka maeneo mbalimbali.Hotuba yake imejaa...
Nani asiyejua kuwa rais mstaafu BENJAMI MKAPA ni alikuwa na bado ni mpiga tungi mzuri?,But mbona aliongoza vizuri kuliko wasiopiga tungi!.So,Sifa ya rais tunayemtaka si asiyepiga tungi,bali ni lazima awe ni mtu anayeyaelewa matatizo yanayowakabili watanzani na awe na mpango mkakati utakaowezesha...
Sidhani kama hon mwakyembe anaweza kuandika ujumbe wa namna hiyo na kuipost hapa JF!.Mi nafikiri aidha ni wapinzani wa EL au ni wapambe wa EL ambao wametengeneza 'hiyo',then wamwambie EL Awape mshiko ili wamjibu hon.mwakyembe feki!.Kwa lugha nyingine ni kwamba,"wanajitekenya wenyewe na kucheka...
Habari zenu wana jamvi!
Kama inavyoeleweka na wengi kuwa nchi yetu inatrajia kufanya uchaguzi mkuu october 25, 2015.
Ni vyema watanzania wote kwa umoja wetu bila ya kujali tofauti zetu na kutafakari kwa kina ni nini tunatarajia kufanya katika uchaguzi huu ili itakapo fika siku ya kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.