Hawa walisherekea kifo cha Mwalimu Nyerere, leo wanamtumia kuutaka urais!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Tuachane na Josephat Gwajima anayejiita ni mchungaji japo sijui nani alimtunuku uchungaji na kwavigezo vipi, yeye hana tofauti na sigara kali

Aliyekuwa anaamini Kingunge ni kiongozi wa kitaifa atafakari upya. Jiulizeni kwa nini hakupata nafasi ya juu kama Mzee Kawawa enzi ya mwalimu?

Ni Kingunge huyuhuyu alifukuzwa ukuu wa mkoa singida na Mwalimu Nyerere, leo anajivika chanda cha Mwalimu.

Lowassa alifukuzwa uanachama wa TANU kwa kosa la kuiba pesa ya ujenzi wa ofisi za umoja wa vijana wa Tanu jijini Arusha yeye akiwa ni katibu wa vijana mkoa,

Ni Moringe na baadhi ya wazee waliopiga magoti kumuombea punguzo la adhabu na hivyo akapewa adhabu ya kuwepo Lumumba tu bila kazi yoyote kwa mda wa mwaka mzima.

Katibu wa vijana TANU Taifa ndugu Elly Anangisye alifukuzwa moja kwa moja na ubunge wa Rungwe akavuliwa.

Alipofariki tu Mzee Nyerere, Lowassa na kundi lake walifanya party na kupongezana, wengine walipigiana simu hata kabla hajafa kuwa kikwazo kimeondoka,

Leo kutangaza nia ya urais wanamtaja Mwalimu kama mbeleko.

Rip J.K Nyerere
 
Habari zenu wana jamvi!

Kama inavyoeleweka na wengi kuwa nchi yetu inatrajia kufanya uchaguzi mkuu october 25, 2015.
Ni vyema watanzania wote kwa umoja wetu bila ya kujali tofauti zetu na kutafakari kwa kina ni nini tunatarajia kufanya katika uchaguzi huu ili itakapo fika siku ya kupiga kura,Tufanye maamuzi sahihi na yenye maslahi mapana kwa taifa letu.

Mpaka hapa tulipo,Kuna watanzania wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine wamekwisha tangaza nia ya kugombea uongozi katika maeneo mbalimbali(urais,ubunge,uwakilishi na udiwani) na kuna wenzetu ambao hawajatangaza nia ya kugombea maeneo tajawa.

Pamoja na hayo,Watanzania wenzetu ambao tayari wametangaza nia ya kugombea katika uchaguzi huu,Mara nyingi wamekuwa wakitoa ahadi kwa watanzani nini watawafanyia watanzania pale watakapokuwa wamechaguliwa kutuongoza.

Aidha,Watangaza nia hao wamekuwa wakiwafumba na kuwaaminisha watanzania kuwa wanayajua matatizo yanayowakabili watanzania kuliko matatizo halisi ambayo watanznia wanayajua zaidi kuliko wao.Hii inatokana na kusababishwa na wapambe wao kutumia muda mwingi kuwatetea wagombea wao hasa pale ambapo wananchi wanapokuwa wanawajadili watia nia hao kama sehemu ya kuwafanyia vetting watia nia hao.Hii ni pamoja na wapambe hao kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwatetea watia nia hao na kufikia hatua ya kuwatukana na kuwabeza watanzania ambao kwa nia nzuri wanafanya vetting kwa watia nia hao.

Kwa watanzania ambao wamebahatika kuwasikiliza watia nia hao,Ambao wanajifanya kujua matatizo na changa moto zinazoikabili taifa letu,Watakubaliana na mimi kuwa,"Hakuna anayefahamu matatizo yetu kwa undani".Hii ni hatari kwa taifa changa kama tanzania.Kwa nini ninasema hivyo?

1. Hakuna mtia nia hata mmoja ambaye ameliongelea tatizo la mpasuko wa kidini unaounyemelea nchi yetu.
2.Hakuna mtia nia ambaye ameongelea uhusiano hafifu kati ya viongozi wa dini wenyewe kwa wenyewe au kati ya viongozi wa dini na serikali.
3.Hakuna mtia nia yeyote yule ambaye amekwisha ongelea swala la rushwa na ufisadi unavyoliangamiza taifa letu.
4.Hakuna mtia nia ambaye amekwisha ongelea tatizo la ardhi,uwekezaji mbovu na urasimu wa kupata huduma linavyolikabili taifa letu.

Ifahamike kwamba, Hata pale ambapo baadhi ya watia nia wanapoongelea maswala hayo,Bado wanashindwa kufafanua namna watakavyo kabiliana na changamoto hizo.

Natoa ushauri kwa watanzania na wapambe wa watia nia hao kuwa,Ni vyema wakawaacha watanzania ili waweze kuwachambua na kuwafavyia vetting watia nia ili wakati wa kupiga kura october au wajumbe wa uteuzi wa vyama vya watia nia hao wafanye uamuzi sahihi kwa maslahi ya taifa letu.Tofauti na hapo,Hatuta mpata kiongozi wa watanzania ambaye anajua matatizo na changa moto zinazoikabili taifa letu, Badala yake tutampata kiongozi wa kundi flani tu!.

Kwa pamoja tutafakari kwa kina.
 
Crystal Clear Mziki wa Lowassa ni Mkubwa ... naona kila mmoja anatoka na threads zake za malalamiko... wengi wanaona itakuwa kama vile kuwapambanisha mabondia wa light weight against Heavy Weight Lowassa ... kama strategist wa UKAWA nilidhani mngekaa Zaidi kwenye data collection na ku strategize namna ya kuwazka CCM mazima ...

Tuachane na Josephat Gwajima anayejiita ni mchungaji japo sijui nani alimtunuku uchungaji na kwavigezo vipi, yeye hana tofauti na sigara kali

Aliyekuwa anaamini Kingunge ni kiongozi wa kitaifa atafakari upya,Jiulizeni kwa nini hakupata nafasi ya juu kama Mzee Kawawa enzi ya mwalimu?

Ni Kingunge huyuhuyu alifukuzwa ukuu wa mkoa singida na Mwalimu Nyerere, leo anajivika chanda cha Mwalimu.

Lowa alifukuzwa uanachama wa TANU kwakosa la kuiba pesa ya ujenzi wa ofisi za umoja wa vijana wa Tanu jijini Arusha yeye akiwa ni katibu wa vijana mkoa,

Ni Moringe na baadhi ya wazee waliopiga magoti kumuombea punguzo la adhabu na hivyo akapewa adhabu ya kuwepo Lumumba tu bila kazi yoyote kwa mda wa mwaka mzima.

Katibu wa vijana TANU Taifa ndugu Elly Anangisye alifukuzwa moja kwa moja na ubunge wa Rungwe akavuliwa.

Alipofariki tu Mzee Nyeree, Lowasa na kundi lake walifanya party na kupongezana, wengine walipigiana simu hata kabla hajafa kuwa kikwazo kimeondoka,

Leo kutangaza nia ya urais wanamtaja Mwalimu kama mbeleko.

Rip J.K Nyerere
 
Komba alianza kutunga nyimbo na mapemaa! Aliposikia tu kwamba baba wa taifa amelazwa.Kisa na sababu "KIKWAZO KIMEONDOKA" dah! Tanzania bhana!

Na wote watamfuata Nyerere kabla ya malengo yao kutimia.
 
Pengine wana ccm wapo too fast na naive kumtumia mwl kupita michujo inayotarajiwa ktk mbio za kuelekea Ikulu.Wengi wanashindana kujinasibu na misimamo ya mwl.

Nisiseme mengi sana ila niwakumbushe wote kwamba watahitaji kumtumia mwl ktk yote na na wakubali pia tunapotumia mwl huyohuyo kuwaenguea.

Bahati mbaya sana wanaomtumia mwlwana sifa ambazo kwa vipimo vya mwalimu na falsafa zake hao jamaa hawafai.Bahati mbaya kuna wengine si mara ya kwanza kukwamishwa na vipimo vya mwalimu,baada ya kufanya hayo hayo wanayofanya sasa.

Wengine ni watoto wadogo na wanatokea mara ya kwanza ila wanachofanya ni hicho chicho ambacho mwl hakutaka,ila wanaamini kujificha ktk baadhi ya mengine kutafunika wanayofanya .

Yetu macho na yetu haki ya kuwahukumu kwa falsafa ya mwl km kipimo cha mwanzo ambacho mmekichagua wenyewe.
 
Tuachane na Josephat Gwajima anayejiita ni mchungaji japo sijui nani alimtunuku uchungaji na kwavigezo vipi, yeye hana tofauti na sigara kali

Aliyekuwa anaamini Kingunge ni kiongozi wa kitaifa atafakari upya,Jiulizeni kwa nini hakupata nafasi ya juu kama Mzee Kawawa enzi ya mwalimu?

Ni Kingunge huyuhuyu alifukuzwa ukuu wa mkoa singida na Mwalimu Nyerere, leo anajivika chanda cha Mwalimu.

Lowa alifukuzwa uanachama wa TANU kwakosa la kuiba pesa ya ujenzi wa ofisi za umoja wa vijana wa Tanu jijini Arusha yeye akiwa ni katibu wa vijana mkoa,

Ni Moringe na baadhi ya wazee waliopiga magoti kumuombea punguzo la adhabu na hivyo akapewa adhabu ya kuwepo Lumumba tu bila kazi yoyote kwa mda wa mwaka mzima.

Katibu wa vijana TANU Taifa ndugu Elly Anangisye alifukuzwa moja kwa moja na ubunge wa Rungwe akavuliwa.

Alipofariki tu Mzee Nyeree, Lowasa na kundi lake walifanya party na kupongezana, wengine walipigiana simu hata kabla hajafa kuwa kikwazo kimeondoka,

Leo kutangaza nia ya urais wanamtaja Mwalimu kama mbeleko.

Rip J.K Nyerere

We tapeli umelipa hela ya Oluoch
 
Last edited by a moderator:
Duh, kikwazo kimeondoka sasa kutumia fedha Ruksa, ama kweli Dunia haiishi vituko ahsante Sana Yerico kwa kitukumbusha
 
Tuachane na Josephat Gwajima anayejiita ni mchungaji japo sijui nani alimtunuku uchungaji na kwavigezo vipi, yeye hana tofauti na sigara kali

Aliyekuwa anaamini Kingunge ni kiongozi wa kitaifa atafakari upya,Jiulizeni kwa nini hakupata nafasi ya juu kama Mzee Kawawa enzi ya mwalimu?

Ni Kingunge huyuhuyu alifukuzwa ukuu wa mkoa singida na Mwalimu Nyerere, leo anajivika chanda cha Mwalimu.

Lowa alifukuzwa uanachama wa TANU kwakosa la kuiba pesa ya ujenzi wa ofisi za umoja wa vijana wa Tanu jijini Arusha yeye akiwa ni katibu wa vijana mkoa,

Ni Moringe na baadhi ya wazee waliopiga magoti kumuombea punguzo la adhabu na hivyo akapewa adhabu ya kuwepo Lumumba tu bila kazi yoyote kwa mda wa mwaka mzima.

Katibu wa vijana TANU Taifa ndugu Elly Anangisye alifukuzwa moja kwa moja na ubunge wa Rungwe akavuliwa.

Alipofariki tu Mzee Nyeree, Lowasa na kundi lake walifanya party na kupongezana, wengine walipigiana simu hata kabla hajafa kuwa kikwazo kimeondoka,

Leo kutangaza nia ya urais wanamtaja Mwalimu kama mbeleko.

Rip J.K Nyerere
w ewe unamsema Nyerere gani? Yule jamaa liyetupiga mrufuku kuwana television wakati iyeye anayo? au ule jaaa aliyekuwa anakamata watu wasio na kazi na kuwaita wazurulalj halafu kuwatia lupango miei mitatu? kama ni hivyo nadhan uiyemlilia ni wewe tuu.
 
huyo jaa yenu anae walisha nyama za nyu
mbu yy inasemekana alisherekea kifo cha nyerere hivo ni tofaut na komba yy alitunga nyimbi za maombolezo.
 
Back
Top Bottom