Ukubalikaji wa wagombea urais CCM

IamPrince George

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
412
168
*LOWASSA✋, Ni jina ambalo linatajwa sana katika vyombo vya habari, likiongelewa sana katika mitandao ya kijamii na kuzungumzwa sana katika makundi tofauti ndani ya jamii, Wazee, Vijana, Wakina mama na hata Makundi ya Wafanyakazi na wafanyabiashara.

Lowassa ni miongoni mwa Wagombea 20+ waliotangaza nia na kuchukua fomu ya kugombea Urais.

Lowassa Bureau of Investigation (LBI) ikaamua kwenda mtaani na kupata kujua sababu hasa ya kuongelewa kwake kuliko wagombea wengine ,na hizi ndio sababu za msingi.
(1): LOWASSA ni msimamiaji,
(2): LOWASSA ni mtendaji,
(3): LOWASSA ni mtekelezaji
(4): LOWASSA ni mchapakazi
(5): LOWASSA ana uwezo wa kusimamia maamuzi yenye tija.

Lakini wapinzani, Kachero wenu nikafuatilia kiundani kujua sababu ya wapinzani kumkubali na kumwongelea, nikayanyaka mazungumzo wakisema kuwa "yule jamaa (LOWASSA) ndiyo mwenye uwezo wa kuunganisha vyama vyetu (Vyama vya upinzani) na kujadili maswala ya kitaifa kwa kuweka tofauti za vyama pembeni".


Lowassa Bureau of Investigation (LBI) ikazama katika ripoti na kuipitia na kuilinganisha na tafiti yake ya Ukacheeo na kuamua kuwaletea RIPOTI KAMILI ya ukubalikaji wa LOWASSA katika Mikoa ya Tanzania bara na Tanzania Zanzibar kulinganisha Wagombea wengine, hii ndiyo ripoti kamili 👇👇👇👇

1: MKOA WA ARUSHA.

(i): EDWARD LOWASSA 81%
(ii): MIZENGO PINDA 0.7%
(iii): JOHN MAGUFULI 2%
(iv): BERNARD MEMBE 1.5%
(v): SAMWEL SITTA 1%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.0%
(vii): STEPHEN WASSIRA 0.1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.0%
(ix): FREDRICK SUMAYE 1%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.1%

2: MKOA WA MANYARA.

(i): EDWARD LOWASSA 79%
(ii): MIZENGO PINDA 0.5%
(iii): JOHN MAGUFULI 1.5%
(iv): BERNARD MEMBE 0.5%
(v): SAMWEL SITTA 0.0%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.1%
(vii): STEPHEN WASSIRA 0.0%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.0%
(ix): FREDRICK SUMAYE 7%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.0%

3: MKOA WA TANGA.

(i): EDWARD LOWASSA 71%
(ii): MIZENGO PINDA 1%
(iii): JOHN MAGUFULI 3%
(iv): BERNARD MEMBE 4%
(v): SAMWEL SITTA 2%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.7%
(vii): STEPHEN WASSIRA 0.3%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.1%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.6%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.9%

4: MKOA WA KILIMANJARO.

(i): EDWARD LOWASSA 70%
(ii): MIZENGO PINDA 0.9%
(iii): JOHN MAGUFULI 5%
(iv): BERNARD MEMBE 49%
(v): SAMWEL SITTA 3.5%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.7%
(vii): STEPHEN WASSIRA 1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.1%
(ix): FREDRICK SUMAYE 1%
(x): JANUARY MAKAMBA 1%

5: MKOA WA MWANZA.

(i): EDWARD LOWASSA 69%
(ii): MIZENGO PINDA 1%
(iii): JOHN MAGUFULI 10%
(iv): BERNARD MEMBE 2%
(v): SAMWEL SITTA 5%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.1%
(vii): STEPHEN WASSIRA 2%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.7%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.5%
(x): JANUARY MAKAMBA 1%

6: MKOA WA MARA.

(i): EDWARD LOWASSA 65%
(ii): MIZENGO PINDA 2%
(iii): JOHN MAGUFULI 10%
(iv): BERNARD MEMBE 0.0%
(v): SAMWEL SITTA 2%
(vi): MARK MWANDOSYA 3%
(vii): STEPHEN WASSIRA 11%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.6%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.5%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.5%

7: MKOA WA KAGERA.

(i): EDWARD LOWASSA 61%
(ii): MIZENGO PINDA 2%
(iii): JOHN MAGUFULI 18%
(iv): BERNARD MEMBE 1%
(v): SAMWEL SITTA 2%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.1%
(vii): STEPHEN WASSIRA 1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.9%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.4%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.3%

8: MKOA WA GEITA.

(i): EDWARD LOWASSA 55%
(ii): MIZENGO PINDA 1%
(iii): JOHN MAGUFULI 26%
(iv): BERNARD MEMBE 0.9%
(v): SAMWEL SITTA 1%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.2%
(vii): STEPHEN WASSIRA 1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 1%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.5%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.6%

9: MKOA WA SHINYANGA.

(i): EDWARD LOWASSA 58%
(ii): MIZENGO PINDA 2%
(iii): JOHN MAGUFULI 15%
(iv): BERNARD MEMBE 2%
(v): SAMWEL SITTA 11%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.6%
(vii): STEPHEN WASSIRA 4%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.9%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.4%
(x): JANUARY MAKAMBA 1%

10: MKOA WA SIMIYU.

(i): EDWARD LOWASSA 72%
(ii): MIZENGO PINDA 0.1%
(iii): JOHN MAGUFULI 8%
(iv): BERNARD MEMBE 0.0%
(v): SAMWEL SITTA 3%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.7%
(vii): STEPHEN WASSIRA 1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.5%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.3%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.9%

MTIHANI KWA CCM,😪😪😪

Hii ni safari ya MATUMAINI, Simama Uhesabiwe...

📶 Lowassa Bureau of Investigation

4U movement/FRIENDS OF LOWASSA
#UTUMISHI ,
#UWAJIBIKAJI ,
#UMOJA
#UZALENDO .

Prince George.
4U Movement | FRIENDS OF LOWASSA
 
  • Thanks
Reactions: PPM

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,232
1,464
Umeshau kuandika lowassa ni mshereshaji kama kibonde hahahah
 

Mgope

Member
Mar 28, 2013
89
3
Hahaha! Yaani hamjajua tu kwamba rais ajaye ni Ngeleja? Hadi mnaogopa kutaja jina lake!
 

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
8,131
9,150
*LOWASSA✋, Ni jina ambalo linatajwa sana katika vyombo vya habari, likiongelewa sana katika mitandao ya kijamii na kuzungumzwa sana katika makundi tofauti ndani ya jamii, Wazee, Vijana, Wakina mama na hata Makundi ya Wafanyakazi na wafanyabiashara.

Lowassa ni miongoni mwa Wagombea 20+ waliotangaza nia na kuchukua fomu ya kugombea Urais.

Lowassa Bureau of Investigation (LBI) ikaamua kwenda mtaani na kupata kujua sababu hasa ya kuongelewa kwake kuliko wagombea wengine ,na hizi ndio sababu za msingi.
(1): LOWASSA ni msimamiaji,
(2): LOWASSA ni mtendaji,
(3): LOWASSA ni mtekelezaji
(4): LOWASSA ni mchapakazi
(5): LOWASSA ana uwezo wa kusimamia maamuzi yenye tija.

Lakini wapinzani, Kachero wenu nikafuatilia kiundani kujua sababu ya wapinzani kumkubali na kumwongelea, nikayanyaka mazungumzo wakisema kuwa "yule jamaa (LOWASSA) ndiyo mwenye uwezo wa kuunganisha vyama vyetu (Vyama vya upinzani) na kujadili maswala ya kitaifa kwa kuweka tofauti za vyama pembeni".


Lowassa Bureau of Investigation (LBI) ikazama katika ripoti na kuipitia na kuilinganisha na tafiti yake ya Ukacheeo na kuamua kuwaletea RIPOTI KAMILI ya ukubalikaji wa LOWASSA katika Mikoa ya Tanzania bara na Tanzania Zanzibar kulinganisha Wagombea wengine, hii ndiyo ripoti kamili 👇👇👇👇

1: MKOA WA ARUSHA.

(i): EDWARD LOWASSA 81%
(ii): MIZENGO PINDA 0.7%
(iii): JOHN MAGUFULI 2%
(iv): BERNARD MEMBE 1.5%
(v): SAMWEL SITTA 1%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.0%
(vii): STEPHEN WASSIRA 0.1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.0%
(ix): FREDRICK SUMAYE 1%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.1%

2: MKOA WA MANYARA.

(i): EDWARD LOWASSA 79%
(ii): MIZENGO PINDA 0.5%
(iii): JOHN MAGUFULI 1.5%
(iv): BERNARD MEMBE 0.5%
(v): SAMWEL SITTA 0.0%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.1%
(vii): STEPHEN WASSIRA 0.0%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.0%
(ix): FREDRICK SUMAYE 7%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.0%

3: MKOA WA TANGA.

(i): EDWARD LOWASSA 71%
(ii): MIZENGO PINDA 1%
(iii): JOHN MAGUFULI 3%
(iv): BERNARD MEMBE 4%
(v): SAMWEL SITTA 2%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.7%
(vii): STEPHEN WASSIRA 0.3%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.1%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.6%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.9%

4: MKOA WA KILIMANJARO.

(i): EDWARD LOWASSA 70%
(ii): MIZENGO PINDA 0.9%
(iii): JOHN MAGUFULI 5%
(iv): BERNARD MEMBE 49%
(v): SAMWEL SITTA 3.5%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.7%
(vii): STEPHEN WASSIRA 1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.1%
(ix): FREDRICK SUMAYE 1%
(x): JANUARY MAKAMBA 1%

5: MKOA WA MWANZA.

(i): EDWARD LOWASSA 69%
(ii): MIZENGO PINDA 1%
(iii): JOHN MAGUFULI 10%
(iv): BERNARD MEMBE 2%
(v): SAMWEL SITTA 5%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.1%
(vii): STEPHEN WASSIRA 2%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.7%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.5%
(x): JANUARY MAKAMBA 1%

6: MKOA WA MARA.

(i): EDWARD LOWASSA 65%
(ii): MIZENGO PINDA 2%
(iii): JOHN MAGUFULI 10%
(iv): BERNARD MEMBE 0.0%
(v): SAMWEL SITTA 2%
(vi): MARK MWANDOSYA 3%
(vii): STEPHEN WASSIRA 11%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.6%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.5%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.5%

7: MKOA WA KAGERA.

(i): EDWARD LOWASSA 61%
(ii): MIZENGO PINDA 2%
(iii): JOHN MAGUFULI 18%
(iv): BERNARD MEMBE 1%
(v): SAMWEL SITTA 2%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.1%
(vii): STEPHEN WASSIRA 1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.9%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.4%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.3%

8: MKOA WA GEITA.

(i): EDWARD LOWASSA 55%
(ii): MIZENGO PINDA 1%
(iii): JOHN MAGUFULI 26%
(iv): BERNARD MEMBE 0.9%
(v): SAMWEL SITTA 1%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.2%
(vii): STEPHEN WASSIRA 1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 1%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.5%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.6%

9: MKOA WA SHINYANGA.

(i): EDWARD LOWASSA 58%
(ii): MIZENGO PINDA 2%
(iii): JOHN MAGUFULI 15%
(iv): BERNARD MEMBE 2%
(v): SAMWEL SITTA 11%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.6%
(vii): STEPHEN WASSIRA 4%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.9%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.4%
(x): JANUARY MAKAMBA 1%

10: MKOA WA SIMIYU.

(i): EDWARD LOWASSA 72%
(ii): MIZENGO PINDA 0.1%
(iii): JOHN MAGUFULI 8%
(iv): BERNARD MEMBE 0.0%
(v): SAMWEL SITTA 3%
(vi): MARK MWANDOSYA 0.7%
(vii): STEPHEN WASSIRA 1%
(viii): HARRISON MWAKYEMBE 0.5%
(ix): FREDRICK SUMAYE 0.3%
(x): JANUARY MAKAMBA 0.9%

MTIHANI KWA CCM,😪😪😪

Hii ni safari ya MATUMAINI, Simama Uhesabiwe...

📶 Lowassa Bureau of Investigation

4U movement/FRIENDS OF LOWASSA
#UTUMISHI ,
#UWAJIBIKAJI ,
#UMOJA
#UZALENDO .

Prince George.
4U Movement | FRIENDS OF LOWASSA

Lowassa Jembe.Ushahidi kutafuta wadhamini sehemu zote mafuriko ya watu yanajitokeza
 

LURIGA

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,333
3,500
Lowassa Jembe.Ushahidi kutafuta wadhamini sehemu zote mafuriko ya watu yanajitokeza

Njaa bwana! Mwaka was mavuno huu vijana endeleeni kuchangamkia fursa za ajira za muda mfupi mpate japo hela ya soda!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom