Recent content by ANDREAS SON

  1. ANDREAS SON

    Magufuli akiwa Rais nani atamfunga speed gavana?

    Hii ndio sababu watu wenye uwezo mzuri wa kufikiri wanatakiwa kusikilizwa ushauri wao wa hekima sasa tunachokipata ni matokeo ya kuweka pamba masikioni
  2. ANDREAS SON

    Tanzania ni mahala salama sana pa kuishi

    Foo Fools multiply when wise men are silent
  3. ANDREAS SON

    TRA: Askofu Kakobe hana fedha wala akaunti binafsi ila Kanisa lina akaunti yenye Sh. Bilioni 8.1; amemwomba Rais radhi

    Tulishawahi kisikia kuna watu wamehifadhi fedha inje ya inchi lakini mpaka leo kimya au hizi za ndani inabidi ziende inje ndio ionyeshe amekua mzarendo
  4. ANDREAS SON

    DAR: Viongozi wanne wa CHADEMA wafika Polisi kwa mahojiano,waachiliwa kwa dhamana, Watakiwa kuripoti 27 Feb 2018

    Washitakiwe kabisa kwasababu ndio waliochelewesha kutoa form mpaka shida inatokea saa kumi na mbili jioni na kesho yake uchaguzi we hutoi form washitakiwe kabisa
  5. ANDREAS SON

    Muhimu Sana: Polisi wakikosea kidogo, isitufanye tukasahau mazuri na mema yote wanayoyatenda

    kitu kidogo koz aliyakufa hawahusu angekuwa mwanao, dada Yako ungejisikia kile wanchojisikia wazazi wake ikumbukwe kuna inchi ambazo kifo cha mtu mmoja kinaweza kuleta ghadhabu kubwa lakini kwasababu ni TANZANIA tuendelee tumalizeni tu
  6. ANDREAS SON

    Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

    Hii post imeandikwa na binadamu mwenye akili timamu au roboti? I
  7. ANDREAS SON

    WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Kwakweli askofu ngalalekumtwa na wenzake historia itawakumbuka sana ..mungu awasimamie
  8. ANDREAS SON

    Hivi marais wastaafu mnashindwa kukemea hata hii kauli inayodaiwa kutolewa na Makonda?

    Nadhani watakuwa wameamua iharibike jumla then tuanze upya maana ni maaskofu wa kanisa katoliki tu ndio naona wamethubutu
  9. ANDREAS SON

    Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    nadhani haina tofauti na lile tangazo la nyongeza y mshahara lililotolewa zanzbar .mpaka leo TUKTA kimya kama hakuna kilichotokea ngoja tusubiri tuone 0.8%
  10. ANDREAS SON

    Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

    Kazi ni Jambo mmoja na jinai ni Jambo jingine issue ni kwanini mtu mwenye jinai yupo huru wakati wenzake wapi magereza? ki
  11. ANDREAS SON

    Tunamchukia Makonda lakini anajitahidi

    Jambo rahisi sana siyo kweli kwamba kila aliye jela hakuwahi kutenda Jambo jema katika jamii ,na siyo kweli kwamba kila asiye na vyeti hana uwezo lakini Tukiwa na akili zetu bila kilevi chochote watumishi zaidi ya elfu kumi waliondolewa kwa sababu ya taratibu za kisheria ambazo sisi wenyewe...
  12. ANDREAS SON

    mpango kazi wa JPM katika kutumbua Majipi

    Mizunguko kibao escrow iko hapo, tunapoteza billions kila mwezi ,pesa uswis kibao sifa tu kuwauwa watanzania na pressure kwa kuwabomolea nyumba zao.
Back
Top Bottom