Recent content by anderson rweyemamu

  1. A

    Utata wa Sheria na Kanuni hizi za Bunge la Katiba utazaa Katiba ya mtaa wa Lumumba

    Ebu na mm nitumie Yerico! Namba yangu 0715 054995 Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  2. A

    Uchaguzi Kalenga; CHADEMA leo kuchanja mbuga Magma, Ifunda

    KAmanda Hongereni sana! Sisi huku tunaendelea kufanya maombi ili tushinde kwa kishindo, msiache kututumia picha! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  3. A

    Mbowe jiangalie; Lissu anakunanga kiaina!

    Alafu nimekufahamu ww uliye post! Waliokutuma waambie kazi ndo umeianza lakini umeshindwa huwezi kufanikiwa hata kidogo! Nafikiri nenda Nigeria kwanza alipokuwa bos wako Zitto ukatambike kwanza! Au mwambie Zitto akuonyeshe anaendaga kwa waganga wapi!! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  4. A

    Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

    Sijui Sumaye alipokuwa waziri mkuu miaka 10 alikuwa nayo shahada? Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  5. A

    Msafara wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mh. Freeman Mbowe wapata ajali

    Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  6. A

    Ushiriki wa JWTZ katika 'Operesheni Tokomeza'

    Tanzania hatuna Aman! Bali ni waoga na tuko washamba! Kila siku tunaambiwa ni Nchi ya Amani tunashangilia. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  7. A

    Nitaendelea kumtetea Zitto kwa gharama zangu zote. Kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba

    Kwanini husitaje kiasi ulichopewa kumtetea! Au unalipwa na Nape Mnyauye? Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  8. A

    GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Nani angempa nafasi zote hizo? Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  9. A

    Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

    Mimi nasema kuanzia sasa ccm inabidi waanza kufungasha vilago! Maana SIMBA WA TANZANIA ameshinda mtihani wa mwisho tu,hamna majaribu mengine tena! Sasa tunajiandaa kwenda Ikulu! Asante sana pia Dr. Wakusomea sio kupewa! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  10. A

    Nimeingia jimbo la Kisesa saa kumi na mbili jioni hii kwa operation ya siku nne.

    Pamoja kamanda tuko nyuma yako! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  11. A

    Yametimia,mkutano wa dr. Slaa wakwama Kahama,wananchi wasusia mapokezi na mkutano

    ''Dr. Slaa aliomba'' ilikuwa ni lini? Utumwa mbaya ! Hata aliyekutuma unashindwa kumwambie akufundishe kutofautisha wakati uliopo,uliopita ,na ujao! Vyote unaunganisha! Mnatumika vibaya! Lakini afadhali nyumbani familia imeenda chooni. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  12. A

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    CCM inawahitaji,wahi nafasi! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  13. A

    Ujio wa Mwigulu Nchemba,nyumba ya katibu wa CHADEMA yachomwa moto

    Uyu Mwigulu nafikiri atakuwa na Mbingu ya kwake akifa sio bule! Make amekuwa Mungu Mutu apa Duniani! Sasa mm namuomba Mungu amuongeze ujasili afanye zaidi ya haya anayo yafanya. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  14. A

    Dr. Sengondo Mvungi avamiwa na kujeruhiwa usiku wa manane!

    Unajua Taifa ili lishapoteza mwelekeo! Aliye mjeruhi Dr.S Ulimboka ashachukuliwa atua? Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  15. A

    Mbunge Lema hajatulia, afungwe gavana, rahisi kusababisha mitafaruku

    Lakini unachokitaka umekipata! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Back
Top Bottom