Nimeingia jimbo la Kisesa saa kumi na mbili jioni hii kwa operation ya siku nne.

  • Thread starter Alphonce Mawazo
  • Start date

A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined
Sep 10, 2013
Messages
335
Likes
28
Points
0
A

Alphonce Mawazo

R I P
Joined Sep 10, 2013
335 28 0
CHADEMA family wamenipokea vizuri,wasiwasi tulionao juu ya Zitto saga ni wa bure,wanashangaa ninapowauliza hali ya hewa kisiasa,kazi iliyopo kuanzia kesho ni kumchapa huyu Tikiti maji Mpina ambaye mara anajifanya mwanaharakati wakati anaogopa kupoteza mafao,anataka kuja CHADEMA baada ya bunge kuvunjwa rasmi,nani kamwajiri amjengee?atausikia mziki wa m4c.

Ombi langu ni kwa wapenzi wa mabadiliko wote kuni -support km wanarorya walivyofanya juzi jimboni kwao,kwa pamoja tunaweza.
 
makusanya

makusanya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Messages
552
Likes
64
Points
45
makusanya

makusanya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2011
552 64 45
Asante sana kiongozi na mpiganaji wa kweli
 
sunshine1

sunshine1

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Messages
524
Likes
92
Points
45
sunshine1

sunshine1

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2011
524 92 45
Pamoja sana kamanda. Mpaka Tz yetu iwe revived!

Chadema family wamenipokea vizuri,wasiwasi tulionao juu ya Zitto saga ni wa bure,wanashangaa ninapowauliza hali ya hewa kisiasa,
 
Kibo255

Kibo255

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
4,424
Likes
3,300
Points
280
Kibo255

Kibo255

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
4,424 3,300 280
Kamanda pamoja sana mpaka kieleweke ukombozi wa kweli.
 
Dotto C. Rangimoto

Dotto C. Rangimoto

Verified Member
Joined
Nov 22, 2012
Messages
1,973
Likes
588
Points
280
Age
32
Dotto C. Rangimoto

Dotto C. Rangimoto

Verified Member
Joined Nov 22, 2012
1,973 588 280
mawazo nakuaminia,,,mungu akubariki xana.
 
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Messages
3,324
Likes
1,031
Points
280
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2012
3,324 1,031 280
Haa haa haaa ati wotameloni duh! Haya bwana
 
Pastor Achachanda

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
3,034
Likes
963
Points
280
Pastor Achachanda

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
3,034 963 280
Kamanda unapokwenda huko mwakilishe MUNGU vizuri kwani kazi ya ukombozi unayoifanya usikwepe kuitwa MTUMISHI WA MUNGU au kwa kiarabu ABD-ALLAH
 
T

Tmatimba

Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
66
Likes
0
Points
13
T

Tmatimba

Member
Joined Oct 8, 2013
66 0 13
Karbu Nyumbani kamanda, uckose kufka hapa Mwandoya.
 
M

Mndokanyi

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Messages
630
Likes
2
Points
35
Age
42
M

Mndokanyi

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2012
630 2 35
Asante mkuu na pongezi nyingi kwa jitihada kubwa za kukomboa nchi kutoka kwa mkoloni CCM
 
U

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Messages
1,174
Likes
215
Points
160
U

umla

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2012
1,174 215 160
wafu wanaliwazana!!!
 
Arnold Njau

Arnold Njau

Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
5
Likes
0
Points
3
Age
41
Arnold Njau

Arnold Njau

Member
Joined Dec 4, 2012
5 0 3
Huyu jamamaa nampa salute@respect hana muda wa blah blah yeye ni kuchanja mbuga tu.
 
K

Kabwena

Senior Member
Joined
Jun 17, 2013
Messages
104
Likes
6
Points
35
K

Kabwena

Senior Member
Joined Jun 17, 2013
104 6 35
Kaza Mwendo Kamanda Mawazo, Busanda 2015 Kama Kawa
 
R

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
2,776
Likes
16
Points
135
R

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
2,776 16 135
wafu wanaliwazana!!!
Mtatafuta kila lugha na tusi, ukweli utabaki pale pale, wasariti wamebainika na wameshughulikiwa period!
Kamanda Mawazo Bravo, pia wahi kule poti ukachukue kiti mkuu!
 
A

anderson rweyemamu

Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
57
Likes
0
Points
0
A

anderson rweyemamu

Member
Joined Sep 19, 2013
57 0 0
Pamoja kamanda tuko nyuma yako!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
6,904
Likes
356
Points
180
Age
34
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
6,904 356 180
Nakupa 100% kamanda Mawazo.T2015 CDM
 
Exaud Mamuya

Exaud Mamuya

Verified Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
403
Likes
2
Points
35
Exaud Mamuya

Exaud Mamuya

Verified Member
Joined Jul 26, 2011
403 2 35
CHADEMA family wamenipokea vizuri,wasiwasi tulionao juu ya Zitto saga ni wa bure,wanashangaa ninapowauliza hali ya hewa kisiasa,kazi iliyopo kuanzia kesho ni kumchapa huyu Tikiti maji Mpina ambaye mara anajifanya mwanaharakati wakati anaogopa kupoteza mafao,anataka kuja CHADEMA baada ya bunge kuvunjwa rasmi,nani kamwajiri amjengee?atausikia mziki wa m4c.

Ombi langu ni kwa wapenzi wa mabadiliko wote kuni -support km wanarorya walivyofanya juzi jimboni kwao,kwa pamoja tunaweza.
Pamoja sana kamanda! Waeleweshe makamanda kuhusu Zitto na wasaliti wenzake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
House of Commons

House of Commons

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Messages
1,688
Likes
424
Points
180
House of Commons

House of Commons

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2013
1,688 424 180
Unastahili heshima ndani ya chama, unachapa kazi, acha masalia wajitutumue lakini watauona mziki
 
N

nyampanaga

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Messages
344
Likes
3
Points
33
N

nyampanaga

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2012
344 3 33
Mungu akuongoza Daima Kamanda wetu Kamnda Mawazo

Daima tu pamoja mwanzo mwisho!
 
Last edited by a moderator:
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Messages
5,296
Likes
15
Points
0
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2012
5,296 15 0
Mungu akujalie na akutangulie katika hii safari ya ukombozi pongezi sana kwa kazi uifanyayo
 

Forum statistics

Threads 1,252,134
Members 482,015
Posts 29,797,628