Recent content by andeca

  1. A

    JamiiForums Tanzania Viwanja bei chee, lete mteja pata commission!

    Mh hio ni bustan sio kiwanja
  2. A

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi hii benk ya nmb ni ya vigogo wa serikali nini. Mbona kila tawi folen sana alafu jitihada za kuipunguza hazipo. Eti kahama nzima nmb ni moja tuu sehem mhimu zenye ela kama isaka hata itm hamna duuu. Maboss wa nmb hampo makini..
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 190 walawitiwa Hanassif

    Jaman mbona shida
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

    Eeh katika msafara wa mamba kenge wamoo
Back
Top Bottom