Recent content by and 998 others

  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

    Hivi SGR ukailinganishe na Abood? Kweli?
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania SGR YAFUTA ROUTE YA MORO YA SA 3 asbh (13500) ILI ABOOD IPATE ABIRIA

    Waluguru maneno maneno
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

    Bonge angeshachezea jela
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania SGR anzisheni kodi kwa abiria na Wasindikizaji

    Nyomi kama lote
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tanganyika hakuna vifaa & abiria kuihudumis A380

    Tofautisha kutuankwa dharura na kuihudumia (facilities eg. jet bridge etc)
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Msechu Mwaka wako huu [Kenya nako kuna deal linanukia!]

    Raila*
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Msechu Mwaka wako huu [Kenya nako kuna deal linanukia!]

    Peter mwaka huu ni 1wako upewe nini tena? Inasemekana Kaka wa Raila kashang"ata shuka hukoo. Andaa nguo tu. Jina unalo tayari
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    Noma sana. Ila huo ukanda kuanzia Karatu, Babati, Katesh, Singida na KONDOA ni chupi mkononi.
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    Kanda ya ziwa (hususani visiwani) ukimwi kama Mafua tu
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Peter Msechu aelekea Zimbabwe

    Peter mtu wa deal
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Huku barabarani truck za Scania zimekuwa adimu sana, ni mchina tu kila mahali.

    Mchina katutoa kimasomaso wamiliki wa coaster. Kupitia mikopo nmb nimenunua yutong 2
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tanganyika hakuna vifaa & abiria kuihudumis A380

    Tanganyika kwenye Aviation ni kama kijiji tu. Viwanja vidogo, vifaa hamna wala abiria. Kuileta A380 huiu ni hasara kubwa. Wananchi wanahimizwa kuchangamkia nauli za Kimbinyiko.
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Kenya waliyeyushwa kama Mvuke pamoja na kuwa na KATIBA MPYA!

    Mkuu sikielewi kwa elimu ipi uliyonayo? Napata ugali kwa kuchanganua sera za kiuchumi zote 54 za Afrika. Wewe upo Ikwiriri unajua nn zaidi ya kusubiro msaada wa kuchimbiwa visima na waarabu wa Kuwait?
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu [Chivayo] anzisha Youtube Channel upige pesa!

    Peter kwanza pole na msiba. Tumia nafasi hii anzisha Youtube channel ukielezea maisha yako na harakati za muziki na maisha utapiga sana hela. Pita na huu upepo kuongeza kipato na business deals.
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Peter Msechu aelekea Zimbabwe

    Peter Msechu karibu Harare
Back
Top Bottom