Bongofleva Jifunzeni kwa watu waGospel

Bongofleva Jifunzeni kwa watu waGospel

General Overseer

New Member
Joined
Jan 14, 2026
Posts
4
Reaction score
3
Jana kulifanya tamasha kubwa sana la mziki la CRDB- Imbeju na Trey Songz alikuwa ndio kivutio.
Mjadala mkubwa umekuwa haswa kwenye utofauti wa uimbaji wengi wakihoji mbona alvyopanda Trey Songz mziki ulikuwa mzuri sana, sound was sounding, tofauti na ilivyokuwa walivyoimba wabongofleva.
Wadau wanasema walikuja na team yao na sound engineer wao, ndio maana alivyopanda sound ikabadilika kabisa.

Ikimaanisha sound engineers wabongo wanafeli kwenye Live? Au wasanii hawajazoea hizi kuimba live ? wamezoea kuwa na ma-dj kupiga playback?.

Kwanini Hawa masound engineers wa Bongofleva wasijifunze kutoka Kwa Ma-Sound engineers wa Gospel hasa kwenye matamashaya gospel na Kwaya, matamasha ya live mziki unalia vizuri tu.
Kuepuka hizi fedheha Ma-sound engineers wa Bongofleva Jifunze kwa Watu wa Gospel kwa maana kwao kuimba Live sio shida kabisa wanaseti vitu vinasikika.
 
Umeniwai asee siku nyingi nilitaka kuleta mada kama hii asaa kwenye shoo ya live kwa upande wa video na oudio
 
Je sound engineer na videographer wanaotumika kwenye matamasha ya gospel wao wamesoma wapi na hawa wa bongofleva wamesoma wapi?
 
Kuna nyimbo nyingi za dini hasa gospel zimerekodiwa audio na video kwenye tamasha na mwishowe audio na video ikawa alficial (UKO MBELE TUMEMZOEA MICHAEL JAKSON TOKEA 1985 ADI KIFO)
 
Bongofleva 99% hawajui na hawawezi kuimba live, hawafundishiki na kamwe hawataweza. Wale waimba kwaya za gospel 99% wanajua kuimba wanajua mziki na wanajua live band.
 
Back
Top Bottom