Kuna mambo ukiyafahamu hata kidogo tu hutayumbishwa hata siku moja.
Jamiiforums ni system inayotegemea members ambao wapo kila sehemu(including wewe na tcu) na servers zenye post zipo tcu na sio jamiiforums (ndo maana uki click link unaambiwa server not found ikimaanisha wametoa page kwenye...
Kwa mfumo wa elimu ya nchi yetu Tanzania (sijui nyingine) ni wazi kwamba tunasoma kwa muda mrefu mambo mengi yasiyohusiana ma taaluma tunazozipenda kutoka shule za msingi mpaka kidato cha sita kwa mfano: kutoka darasa la kwanza mpaka la saba tunasoma ili tufaulu mitihani tu, kidato cha kwanza na...
Kwa hesabu ya haraka sh. 50,000/= kwa wiki 2 ni wastani wa sh. 3571.4 kwa siku itakayogharamia malazi, chakula, tours na kuna vyeti na nimecheki hapo programmes ni nyingi kwa kweli. Naomba kama nitasaidiwa maelezo ya kutosha kama kuna wadhamini wengine wanaosapoti hii kitu kwa sababu ni moja ya...
Duh!! Kwa hiyo watapiga picha mbugani pia!!!! kwanini wasipelekwe chuo cha sanaa bagamoyo waendelee kutufundisha pale??? Ni mara ngapi tumetumia wataalamu wetu kabla ya kutoka nje?? nachoka sana ninapoona tunatumia fedha nyingi kwa mambo yasiyo endelevu!!
Siku zote mtu anayependa kuangalia fulani kafanya nini hana kawaida ya kufanikiwa hasa ukizingatia anayofuatilia hayana positive impact kwake au jamii inayomzunguka. Shida na raha ni matukio tu na kuhudhuria au kutohudhuria si kesi na ukiona unahudhuria kwa sababu tu watu watakuonaje haisaidii...
Hili gari lipapiga safari zake iringa mjini - kilolo na linafika vijiji ambavyo hakuna basi linaingia huko. Tangu utoto wangu mpaka sasa mtu mzima naliona hivo hivo halijawahi badilika
Kama ulizaliwa kifo hakikwepeki lakini kuishi wapi ni maamuzi yako kulingana na uwezo, nafasi na mahitaji yako kuhakikisha maisha yanasonga. Kwa hali ya kawaida kabisa kifo kwa binadamu ni huzuni sasa ikitokea binadamu mmoja anacheka kifo cha binadamu mwingine kuna tatizo... Wote tutakwenda humo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.