Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
Naomba ufafanuzi, Kwanini CCM na vijana wenzangu wa UVCCM kwani si facebook si popote nimeona viongozi wetu wakionesha alama ya vidole viwili kama wenzetu wa UKAWA wanavyofanya ya kuonesha alama ya vidole vitatu kuashiria wanataka serikali tatu ?
Leo nimefanya hivyo nikaonywa na kiongozi wangu lakini hakunipa sababu.
Leo nimefanya hivyo nikaonywa na kiongozi wangu lakini hakunipa sababu.