Nawapongeza sana TFF kwa moyo wa huruma waliouonesha kwa ndg zetu gongowazi. Laiti mechi ya Simba na Yanga zingechezwa mwanzoni mwanzoni mwa msimu huu wa ligi bila shaka zile goli8 tulizowapiga coastal msimu uliopita basi zingejirudia kwa hawa ndugu zetu. Ila sio mbaya sana hizo 5...
Sio jina moja tu, bali hayo yote aliyonayo ni ya kiislam. Mkuu naomba utambue hivi ni bora kuwa na muislamu mwenye jina la Joseph kuliko kuwa na mkiristo mwenye jina na matendo ya Yudaeskariyot
Anza kumfanyia maandalizi mapema. Wazazi wengi hutamani hivyo lakini wanapofeli maandalizi kwa mtoto /watoto wao haya hujitokeza. Ewe mwenyezimungu naomba ukisikie kilio cha nafsi yangu. Amina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.