Mahususi kwako wewe mwenye kujielewa

Wanawake wa aina hiyo unayoitaka wapo sana tu. Tatizo linakuja kwenu, mkishasaidiwa mkajiweza kidogo mnaanza kuwa mafurushi na nyodo kibao, mnasahau mlikotoka.
 
Sio wote. Binadamu hatufanani
 
Unasema una akili alafu unashindwa kuzichanganua na kupata kipato cha kuendesha maisha yako?
Ukweli mchungu ni kwamba kichwa yako sawa na box tupu,maana kimeshindwa kufikiri vyema zaidi ya kutaka huruma ya wadada
 
Nitampenda mwenye kunipenda. Akija kwa kunikopesha sawa, kunidhamini sawa au kuja Jumla jumla ili tuje kuijenga familia pia sawa.
Ila Vigezo na masharti yangu ndio hayo hapo juu
Vip akitokea mwanaume wa kukudhamini??
 
Unasema una akili alafu unashindwa kuzichanganua na kupata kipato cha kuendesha maisha yako?
Ukweli mchungu ni kwamba kichwa yako sawa na box tupu,maana kimeshindwa kufikiri vyema zaidi ya kutaka huruma ya wadada
Nisaidie kuwaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom