Recent content by Ance4

  1. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie afariki dunia leo alfajiri

    May God rest his soul in peace father Bishop Amedeus Msarikie, by Alfonce Chipeta
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rest in peace.

    We loved him but God loved him more, R.I.P The dead will never come back!!!! thanks members of JF.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rest in peace.

    Poleni walimu, viongzi wote wa TYCS na wanafunzi wote shuleni mwakaleli kwa kumpoteza mwanafunzi mwezetu Raphael Mathias, mwenyekiti sherehe mstaafu, Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi Amina. kwa niaba ya viongozi wastaafu 2009-2010.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rest in peace.

    [B]Poleni walimu, viongzi wote wa TYCS na wanafunzi wote shuleni mwakaleli kwa kumpoteza mwanafunzi mwezetu Raphael Mathias, mwenyekiti sherehe mstaafu, Mungu aiweke roho yake mahala peponi Amina. kwa niaba ya viongozi wastaafu 2009-2010 shuleni mwakaleli.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuhama rasmi CHADEMA nimehamia NCCR MAGEUZI

    Mfa maji haachi kutapatapa, badala ya kuondoa tatizo unakimbia huko NCCR ndo utaweza????????????? Huna lolote na unaonekana hujiamini................. waache wanaume wachape kazi, ukabila na udini Tanzania haina labda uanzishe wewe na post zako za ajabu....
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli TCU wametoa machaguo?

    Thanks all pouwaa, but tupeane taarifa zaidi vyuo vinavyoendelea kutoa through my email.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli TCU wametoa machaguo?

    Nimesikia jioni baada ya kuachana na ww Rashidi au si kweli?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli TCU wametoa machaguo?

    Mda mfupi uliopita, nimepokea simu kutoka kwa wadau kwamba TCU wametoa majibu, lakini kinachoniumiza mpaka sasa nafungua website ya TCU ipo busy, je ni kweli jamani tetesi hizi?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) yaanza kutoa orodha ya waliochaguliwa kwenda Vyuo Vikuu

    Thanks bro for your information!!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Diwani CHADEMA arejea CCM

    Vyama vya siasa vijifunze kutafuta watu waaminifu, na wenye uzalendo wa kweli, watu kama hawa wanaweza kushusha sifa ya chama kwa kutokuwa wavumili katika harakati!!!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuna nini TCU mwaka huu

    Muwe wavumilivu jamani, tuwaachie wafanye kazi yao vizuri, but wawe waaminifu katika ahadi!! Wataaminika sana!! By Alfonce.
Back
Top Bottom