Mkataba wa Barbara ya Lusahunga Rusumo umesainiwa na Bugene Benaco ujenzi unaendelea.Nimezitaja hizo ambazo ziko ktk maeneo yangu.Lakini mbona zinajengwa maeneo mbali mbali wewe unahishi wapi?
Umasikini unaozungumziwa Kagera ni porojo,propaganda ambazo huwezi kuzichambua kisayansi ,labda unazungumza sana na watani wetu. Mimi nikiangalia vigezo vya umasikini Kagera inavivuka. Mathalaani ukiangalia swala la Elimu tupo viwango vya juu.Makazi tupo juu labda kipato Cha Kila mwananchi...
Ukibishana na mjinga wenye busara watashindwa kupambanua mjinga ni yupi.Hapa mweledi ni Bora akawahubiria wafuasi wake badala ya kurusha madongo Kwa wahumini wasiokuwa wa dhehebu lake.
Wanaendelea kutafuna Kodi za Watanzania. Je? Wizara ya Mambo ya nje inawajibikaje mbona haichukui hatua tangu 2019. Ni nani katuroga? Hapo utaikuta Karibu Mkuu analalamika,pia Waziri analalamika.
Jamani. Tunakuwa na mipango mingi mingine inashindwa kutekelezeka. Kwa mfano mradi wa kuweka heleni Kila Ng'ombe umeishia wapi? Tunaanza kutekeleza bila kupanga na kutathimini?
Pole.Anayeshikwa ni Kwa kua hajui haki yake kisheria.Kutomaswa tomaswa bila ridhaa Yako ni kosa kisheria. Ni shambulio la aibu. Ukiwa na ushahidi unamfungulia mashtaka.
Migogoro ya ardhi kimsingi usababishwa na viongozi wa kisiasa na serikali za maeneo husika wazirianatupiwa lawama mgogoro unapokuwa umeisha panuka vya kutosha . Waziri hapashwi kubeba lawama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.