Alikuwa anatamani sana tukutane, ila ratiba zangu hazikuwahi kuwa easy. Kila akiwa Dar Mimi nakuwa mkoani mpaka nilipohama mazima Dar. Alinialika Arusha, ila sikuwahi pata route ya kule.
Anyways, pumzika kwa amani dada Valentina.
Muda wake Kama mwenyekiti ndio umeisha, ila yeye bado ni mwanachama wa CHADEMA hivyo anawajibu wa ushiriki kwa yanayoendelea.
Chama ambacho amekiongoza kwa miaka mingi, leo viongozi waliokuwa nae bega kwa bega wanashikwa yeye kakaa kimya. Anashindwa hata kutweet?
Tatizo sio NRNE, tatizo ni kwamba anayeisimamia na kunipush sio mtu wao. Kipindi hii ajenda inanadiwa na Mbowe, wote ambao wamehama CHADEMA baada ya uchaguzi, nao walikuwa wanainadi.
Hapo utaona shida sio hawataki ajenda, bali ni anayeinadi ndio hawamtaki.
Ni ngumu kumridhisha kila mtu. Huu mtifuano tunaouona sasa hivi, sidhani Kama unatokana na hizo sababu ulizozianisha peke yake.
Baada ya uchaguzi, kambi zote zilikutanishwa Bagamoyo ili kufanya reconciliation. Ila pamoja na hayo yote, bado hawakuridhika. Nadhani huu mpasuko hautokani na Lissu...
Mimi nitaendelea kutumia betri hizi hizi za kizamani. Hizo za nyuklia nitawaachia nyie.
Nguvu za kiume zinatakiwa kulindwa kwa wivu mkubwa sana, siunajua mashangazi yanapenda shoo heavy.
Betri za nyuklia, alafu simu muda wote zipo kwenye mfuko wa suruali karibu na kiuno. Mbona kama wanatarget nguvu zetu za kiume na uwezo wa utungishaji mimba?
How safe are they?
Vifo vimekuwepo miaka yote, tofauti ya zamani na sasa ni approach yako.
Zamani labda kutokana na umri, haya mambo hukuwa ukiyapa uzito unaostahili. Ila sasa hivi unajihusisha na mambo mengi directly, mfano unafanya kazi, una vikundi vya kijamii nk kwahiyo circle yako wewe binafsi pia...
Pengine mkeo ana mashaka na mienendo yako, hivyo anafanya research. Hebu angalia hizo picha zote zimepigwa siku moja au zimepigwa kwa interval.
Kama zimepigwa kwa interval, pengine anajaribu kuangalia kama kuna changes zozote zinazojitokeza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.