Recent content by An elect

  1. A

    kila mwana UKAWA fanya hivi kwa Moyo Tafadhari...

    Walau kakiuza kwa mtanzania mwenzetu.. faida itarudi humuhumu nchini.
  2. A

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    ndio hapo inapokuwa shida..maana mfumo wa nchi kwa kuongozwa na katiba unaelekeza kuwa nchi itaongozwa na chama kitakachoshinda..... na sio mtu mmoja.. na ndio maana kuna kitu kinaitwa ILANI (yaan mwongozo) hiyo ndiyo ambayo itamwongoza Magufuli.. siwezi nikiwa na akili timamu kushabikia CCM...
  3. A

    Magufuli acha vitisho, sisi ni watu wazima

    uweke kiongozi msafi toka chama kichafu? by the way ni usafi UPI unaoungelea...maana kama kashfa na ufisadi tunazisikia wote wakisemwa kuwa nazo....unataka kumaanisha nini? ni wakati watanzania tukafanya mabadiliko.....makubwa ya kuondoa chama hiki kilichooza kabisa...sio kuchafuka tu.
  4. A

    Swali hili nimeulizwa sana wakati wa kufanya mapenzi

    mh......nlisikia umepigwa ban....ulifanya nini?
  5. A

    Waiting forever

    why kufunga mjadala mzee? distortion?
  6. A

    Urgently, nahitaji huduma ya kucertify vyeti

    hapo karibu na Mliman city (Essaurp Village) kuna ofisi ya mwanasheria. Ni wakili..pia mtaalamu wa land matters and valuations.
  7. A

    Nahitaji kazi ya usiku

    upite mbali na ushauri mzuri..? karibia mkuu utoe mawazo nawe.
  8. A

    Rais Kikwete awasili Riyadh kuhani kifo cha mfalme wa Saudi Arabia

    nani kazungumza swala la dini wewe...? angalia comment zako ..unajikuta tu unashabikia dini kupita maswahaba ....shame on you..!
  9. A

    Prof. Muhongo kajiuzulu Uwaziri, vipi Ubunge wa kuteuliwa?

    Tukirudi kwenye swali kuu ; ni kwamba Prof. Muhongo alipokuwa akijiuzulu alisema kuwa anajiuzulu nyadhifa zote za kisiasa alizonazo.. na ni logic kwamba aliteuliwa kuwa mbunge TU ili awe waziri, kwa hivyo ni kwamba kama si waziri basi na ubunge wake ambao ulikuwa specifically kumuwezesha kuwa...
  10. A

    Prof. Muhongo kajiuzulu Uwaziri, vipi Ubunge wa kuteuliwa?

    Hapa umechemka faizaFoxy....yupo sahihi ,ni kujiuzulu na sio kujiudhuru kama unavyodhani wewe.
  11. A

    Nahitaji kazi ya usiku

    Ushauri mzuri. ngoja niendelee kukusanya mawazo.
  12. A

    Nahitaji kazi ya usiku

    Asanteni kwa michango yenu.
  13. A

    Nahitaji kazi ya usiku

    Habari za asubuhi wanajamii? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni kuwa ninahitaji kazi ya kufanya kwa muda wa usiku (masaa ya usiku). Mahali nilipo ni Dar es salaam. Ninauwezo wa kuelewa kazi yoyote isiyo hitaji utaalamu wa hali ya juu na kuifanya kwa maelekezo machache na bila...
  14. A

    Picha: Mwigulu atikisa wilaya 7 kwa siku 1 Tanga. Akutana na bango "tangaza nia wanyonge tupone"

    hakuna cha kumwelewa... mnalazimisha sana kuuza kisicho uzika. no wonder watu mnaompigia debe akili zenu ni za kutilia mashaka sana. angalia ID yako utapata jibu,angalia wale vijana waliobebeshwa bango utagundua ni watu wa aina gan. je ni watu wanaoweza kutuamulia swala kubwa kama hili? kwangu...
  15. A

    Picha: Mwigulu atikisa wilaya 7 kwa siku 1 Tanga. Akutana na bango "tangaza nia wanyonge tupone"

    Na lazima uchoke,kutetea kitu ambacho unafahamu moyoni mwako kuwa sicho.... hii nchi kuna watu wanaichezea sana...watu wasio na uwezo hata wa kuwa wakuu wa mikoa leo wanaforce kwa nguvu zote wawe marais... hatujachoka tu na umaskini huu...? tunahitaji kiongozi mwenye standards za Nyerere na sio...
Back
Top Bottom