Recent content by Amwit52

  1. Amwit52

    Karibu kwenye familia.

    Nimepokea PM 16 za wana JF wakiomba kujiunga. Bado nafasi chache zimebaki.
  2. Amwit52

    Karibu kwenye familia.

    Kufukuzwa kwenda wapi? Hivi ulishasema jinsia yako kwanza?
  3. Amwit52

    Karibu kwenye familia.

    Sema handsome wa JF karudi. Mbona unakosea sana bana?
  4. Amwit52

    Karibu kwenye familia.

    Acha kufananisha watu wewe. Mods kwa nini huyu hajala ban mpaka saa hizi?
  5. Amwit52

    Karibu kwenye familia.

    Nani kakupa kibali cha kutumia avatar aina hiyo?
  6. Amwit52

    Majina na uzungu. . . .

    Ambwene Yesaya = A Y
  7. Amwit52

    Majina na uzungu. . . .

    Amwit = Brother A Jr.
  8. Amwit52

    Karibu kwenye familia.

    Nimeanzisha familia ya chit - chat. Kama unapenda kujiunga orodhesha jina lako hapa tufanye uchaguzi wa nafasi mbali mbali.
  9. Amwit52

    Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

    Mimi nimewahi kupata ''like" kutoka kwa viongozi wote mashuhuri, wewe unajivunia hao mods!
  10. Amwit52

    Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

    Mimi nimewahi kupata like kutoka kwa viongozi mashuhuri, wewe unajivunia hao mods!
  11. Amwit52

    Wanawake wa JF mnanichekesha sana.

    haya mambo ya mafuriko yalikata network wakati PM ipo hewani. Endelea kustawisha subira.
  12. Amwit52

    Wanawake wa JF mnanichekesha sana.

    kwa nini unataka kunipoteza tena poti? huoni utapata hasara?
  13. Amwit52

    Wanawake wa JF mnanichekesha sana.

    Ahahahaaa! kumbe huwa wanakumiss poti?
  14. Amwit52

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    kwani yeye swali lake ameku PM?
  15. Amwit52

    Ipi ni siredi iliyokuboa 2011??

    hata hii thread yako ni moja kati ya zilizoniboa.
Back
Top Bottom