Recent content by amphoteric

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki, HESLB rudisheni pesa za Diploma Holders.

    Nawaunga mkono wadau asilimia 100000 lakn watambue sahv chakwanza umalaya ndio utaongezeka kwaupande wa elimu itapungua baada ya kuongeza pesa zote za diploma warudishe zaid ya 80000 mpaka form inatumwa unakuja kusema hawata pewa mkopo bas wangekataza inauma sana
  2. A

    JamiiForums Tanzania YANGA YACHAPWA NA MBEYA CITY, SIMBA YATAFUNA CHAMA LA WANA

    Hapana chezea kabsa simbaaaaaa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Kama ungekuwa ww ungefanya je mkuuu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Kukutafuta ata kama na namba yengne si ubadili namba kama atapata namba mpya akipiga simu kata kwan lazima
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Uhuru ikizid sana inazaaa dhambi dada sawa mwambie nawewe umempata mtu mwengne ambaye anajua thamin yako
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Nakupa ushauri achanaaa naye na ukirudiana naye tena yakikukuta usiombe tena ushauli in shot hakufai kabisaaaaaa
  7. A

    JamiiForums Tanzania HESLB mmefanya kazi nzuri sana

    Ndugu yangu ukisema kitu uwe na ukweli nacho
Back
Top Bottom