Recent content by Amos David Mathias

  1. Amos David Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwili unawaka tamaa ya ngono kadri navyojiepusha na zinaa

    Nashindwa kuelewa hii hali maana nikimuona mwanamke hasa Hawa wa Rika langu awe amevaa vizuri au vibaya mawazo yanaelekea huko.Mpaka mwili unatetemeka na napata kizungungu na moyo kwenda mbio.
  2. Amos David Mathias

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi clinical officer

    Omba kujitolea Peramiho
  3. Amos David Mathias

    JamiiForums Tanzania Sina kazi nashinda na simu muda wote

    Maisha haya siyapendi Ila sijui Cha kufanya Mambo nayo hayaendi Nashindwa kujikusanya
  4. Amos David Mathias

    JamiiForums Tanzania Sina kazi nashinda na simu muda wote

    Sina kazi nashinda na simu muda wote Nipo nipo tu sina muelekeo wowote Nimemaliza Chuo mwaka Jana Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
  5. Amos David Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siyo unashupalia kataa ndoa halafu unajichua na kununua malaya

    Punguza ushauri watu Wana mipango Yao tayari.
  6. Amos David Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

    Sasa jiroge ujidai wewe ndyo Baba Huruma umrejeshe kwenye maisha Yako huyo singo mama.Nafikiri umeona nyuzi za singo Maza wengi. Jithamini pia ndugu yangu unanuaje gari lilitumika wakati mapya 0 km yapo.
  7. Amos David Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wako hivi?

    Kwahiyo wanaojazwa wanajitoa ufahamu
  8. Amos David Mathias

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi ya kazi maabara

    kwanini ke tu
  9. Amos David Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wako hivi?

    Kwahiyo umeshajazwa mimba,singo mama mpya in town.
  10. Amos David Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri: Dogo anataka kurudi Dar

    Mwambie aache ila atajua wa kumtegemea!!!!
  11. Amos David Mathias

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Akipandisha sauti na wewe mjie juu. Alafu mbona ulimkazania wakati alionesha majibu ya ovyo tangia muda kama "Utanioa nikishanunua gari" Wanawake wengi humble wapo. Kingine kwanini ulimchukua mwanamke mliyelingana umri???
  12. Amos David Mathias

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    Mkuu kama ni nyeto Hilo sio jambo la kuwaza hata kidogo. Wenzako Kila siku tunaishi na maumivu makali ya mgongo nafuu tunapata tukilala tu tukiamka maumivu pale pale mchana kutwa.Hatuwezi kuegemea kiti Kwa muda mrefu sababu ya maumivu. Hatuwezi kula sababu tumbo linajaa na kuuma na tunakosa...
  13. Amos David Mathias

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    Basi upo professional
  14. Amos David Mathias

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale waliokuwa wanajipangia mshahara wakiona wanakaribia kumaliza chuo

    Ukishamaliza unaachwa utajijua.
Back
Top Bottom