Recent content by Amo90

  1. Amo90

    Kero zinazowakabili wananchi jimbo la Lupembe, Njombe

    Haha ha business as ussual
  2. Amo90

    Tanzania Plant Health and Pesticide Authority (TPHPA) kuwa bussiness as usual na kupoteza lengo la kuanzishwa kwake

    Tanzania Plant Health and Pesticide Authority kifupi TPHPA ni mamlaka ilioanzishwa kwa uunganisha taasisi ilioitwa TPRI na Plant Health Service (PHS) iliokuwa chini ya wizara ya kilimo. Taasisi hii ilitegemewa kuwa mkombozi ktk kudhibiti afya ya mimea kwa kuzuia uingiaji au usafirishaji wa...
  3. Amo90

    Kero zinazowakabili wananchi jimbo la Lupembe, Njombe

    CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI JIMBO LA LUPEMBE KWA UJUMLA (KERO) 1. ZAO LA CHAI KUKOSA SOKO LAUHAKIKA Wakulima wa chai Lupembe wamekosa soko la uhakika la kuuzia majani mabichi ya chai. Viwanda vya chai vilivyopo vya Ikanga na Lupembe vinapokea majani mabichi ya chai lakini haviwalipi wakulima...
  4. Amo90

    Maajabu Songwe airport kuona huduma zingine uwanjani hazina faida

    Manager wa uwanja wa songwe airport anawambia watumishi idara zingine za serikali (kama madini, afya, uhamiaji, kilimo, etc) wenye ofisi ktk uwanja kuanza kulipia huduma kama umeme, maji, etc. Watumishi wanaambiwa watoe hela zao mfukoni yaani kama mko nyumba ya kupanga. Yaani manager anaona...
  5. Amo90

    DOKEZO Itenz secondary hutaka mwanafunzi asiyefika shule kwa siku moja kupeleka tofali 5

    Itenzi secondary iliopo Mbeya jiji maeneo ya Uyole, watoto wakishindwa kufika shule wanaambiwa walete tofali za block tano kama adhabu yake. Sasa kuna wanafunzi wameshindwa kufika shule kwa siku 30 cumulatively wanatakiwa kupeleka matofali ya block zaidi ya 130+ kila mmoja sasa wazazi wao hawana...
  6. Amo90

    Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    Habari za mchana wapendwa. Habari za kusikitisha - NHIF wamebadilisha mifumo yao ya matumizi ya card. 1- Tegemezi wengi wameondolewa, 2- Card itumike x 3 tu kwa mwezi. 3- Kama umetibiwa Jana au juzi, ukienda hospitali nyingine utatakiwa uende na Referral toka hiyo hospitali ulikotibiwa mara...
  7. Amo90

    Kuna ulazima wa kusitisha mahafali na matamasha ktk kipindi hiki cha sensa?

    Ili kufanikisha maandalizi vema ya zoezi la sensa serikali ingezuia shughuli za graduations za vyuo vikukuu na matamasha hadi zoezi lipite
Back
Top Bottom